BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Rapa Kanye West amefichua jinsi uraibu wake wa ponografia ulivyoharibu familia yake. Bilionea huyo amethibitsha hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram
Chapisho hilo linasemekana kumrejelea mama mkwe wake wa zamani, Kris Jenner - ambaye anamsimamia Kylie na mke wake wa zamani, Kim Kardashian
Taarifa rasmi za talaka za Kim na Kanye ziliibuka kwa mara ya kwanza mnamo Februari 2021. Haya yalikuja wiki kadhaa baada ya uvumi kuhusu ndoa yao kuvunjika.
Itakumbukwa kwamba West alimchana mke wake kupitia Twitter mnamo Julai 2020, kwa kukutana na rapper Meek Mill katika hoteli ya Waldorf.
Baadaye alifuta tweets.
Kutengana kwao kumekumbwa na drama kwenye mitandao ya kijamii.