Unaelewa maana upumbavu?
Soma tena.Yani waogope kitu ambacho hawaamini kama kipo!?🤔
Wewe ndo mpumbavu tena huelewi yaani nakupa maelezo huelewi ,kifupi ni "mjinga"Upumbavu maana yake ni kukosa ueledi, kukosa/ kushindwa kujifunza, kushindwa kuelewa au kung'amua mambo/jambo. Ikiwemo wewe kushindwa kuelewa kuwa kushindwa kwako kuonesha utofauti wa uelevu na upumbavu katika hoja nliyokupa
Upumbavu pia unajidhihirisha pale unapoleta hoja zenye kuonesha upumbavu wako na unaoneshwa upumbavu ulipo na unashindwa kuzitetea kwani kitendo hicho kinathibitisha namna ulivyoshindwa kujifunza na kuchanganua mambo.
Upumbavu mwingine katika mjadala ni kushindwa kuelewa mada ilipo.
Unaweza kunijibu swali langu
Theist hawafi?
Theist hawafi?Wewe ndo mpumbavu tena huelewi yaani nakupa maelezo huelewi ,kifupi ni "mjinga"
Nimekuambia wanaongoza kwa kujiua (suicidal case) ,sasa unabisha hata kitu hauna uelewa nacho, rudia kusoma acha ubishi maandazi.!
Umeelewa ? 😅😅Kujinyonga ndio namaanisha!Theist hawafi?
Mjadala uko hapaWewe ndo mpumbavu tena huelewi yaani nakupa maelezo huelewi ,kifupi ni "mjinga"
Nimekuambia wanaongoza kwa kujiua (suicidal case) ,sasa unabisha hata kitu hauna uelewa nacho, rudia kusoma acha ubishi maandazi.!
Theist hawafi!?Ukiletewa uelevu na upumbavu utaweza kutofautisha!?
Hoja yako kusema kuwa Atheist ni wabinafsi na ndyo maana wanakufa kisha ukaulizwa theist hawafi na ukashindwa kujibu,
Huo ni uelevu au ni upumbavu!?
Huelewi soma hapo😅ishu ni kujiua ,eti unauliza thesists hawafi ? Hamna collocation kabisa .Mjadala uko hapa
Theist hawafi!?
Jibu haoa tujue ueledi wako mheshimiwa.
Mkuu uhusiano uko hapa kwenye hoja yako kuu,Huelewi soma hapo😅ishu ni kujiua ,eti unauliza thesists hawafi ? Hamna collocation kabisa .
Unauliza hivi unajibu hivi.
Nami nmekuuliza,Wanakosa last hope ,wengi wana husda hata public gathering hawataki .
Atheists ni wabinafsi ndio maana wanakufa ,wanapenda mambo yanyooke kwao tu ,wana stress kinoma
"Wanakufa wanapenda mambo yanyooke kwao" nina maana ndio wanaongoza kujinyonga kwa sababu ya depression ndio point yangu.Mkuu uhusiano uko hapa kwenye hoja yako kuu,
Nami nmekuuliza,
Je Theist hawafi!?
Au swali hili ni gumu?
Sasa hilo ni jibu la swali langu kweli,"Wanakufa wanapenda mambo yanyooke kwao" nina maana ndio wanaongoza kujinyonga kwa sababu ya depression ndio point yangu.
Nakuja pale pale elewa kwanza ndio ujibu .!
Swali langu linahitaji uwaongelee theist,"Wanakufa wanapenda mambo yanyooke kwao" nina maana ndio wanaongoza kujinyonga kwa sababu ya depression ndio point yangu.
Nakuja pale pale elewa kwanza ndio ujibu .!
Mnaongoza kujinyonga hamna maelezo ,unajichetua tu 😅😅Sasa hilo ni jibu la swali langu kweli,
Sasa unadhan kuna haja gani ya mimi kuendeleza mjadala nawe kama nmekuuliza swali na umeshindwa kuelewa nnachokuuliza!?
Unanihakikishia vipi kama hoja nnazokupa utanielewa?
Vifo vyao sio vya kujinyonga kama nyie .Swali langu linahitaji uwaongelee theist,
Je wao hawafi?
Je kuna sehemu umeonesha kuwa hao atheist ndo wanaongoza kwa kujinyonga zaidi ya kuwa umeonesha kuwa nchi zenye kuongozwa kidini (Religious country) zina rate ndogo tu ya suicide!?Mnaongoza kujinyonga hamna maelezo ,unajichetua tu 😅😅
Sasa unabisha nn ?🤣🤣Huo ndio ukweli ,tafuta mtu mzima muulize kama ulikuwa hujuiJe kuna sehemu umeonesha kuwa hao atheist ndo wanaongoza kwa kujinyonga zaidi ya kuwa umeonesha kuwa nchi zenye kuongozwa kidini (Religious country) zina rate ndogo tu ya suicide!?
Unaelewa hata hiyo taarifa uliyoileta humu haithibitishi kauli yako kuwa atheists ndo wanajinyonga ila inaonesha tu kuwa nchi za kidini zina rate ndogo ya watu kujiua.. Unaelewa hii point!??
Naona hatuwezi kuelewanaSasa unabisha nn ?🤣🤣Huo ndio ukweli ,tafuta mtu mzima muulize kama ulikuwa hujui
Kaa kimya!Naona hatuwezi kuelewana
Ukiwa tayari kufanya mjadala wenye tija,Kaa kimya!
Maana huelew kuwa kuna nchi nyingi zisizo za kidini ikiwemo Tanzania yetu, pamoja na kuwa na idadi kubwa ya waamini lakini rate ya matukio ya kujiua ikawa juu.Kaa kimya!