Kanye West: Prayers are not working

Kanye West: Prayers are not working

Ni bipolar muda mwingine yuko sawa mwingine hayuko sawa. Hivyo siwezi kusema alipatia au alikosea haeleweki huyo ndio maana neno lake si la kuchukulia serious
Mungu hajibu maombi,
 
Ukishika amri za Mungu
Ukiomba chochote unakipata ontime
Kanye anazifahamu amri za Mungu na kuziishi?

Hata torati inasema ukiishika torati chochote kile ni kugusa tu
Lakini wema unalipa hii niko na ushahidi nayo
Ukitendea watu mambo mema kama kuwasaidia katika mambo mbalimbali ni kumkopesha Mungu siku ukiwa na shida uko katika mazingira yasiyowezekana Muombe Mungu na umkumbushe wema uliotenda kwa wengine Mungu atafanya malipo Na utaliona hilo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kiasi Fulani Maneno ya Kanye west yana ukweli. Kwa ninavyoelewa Mimi ni hivi SISI BINADAMU TUNA UUNGU NDANI YAANI TUNA UWEZO WA KUKAMILISHA MAMBO AMBAYO MUNGU ALIYAUMBA. MUNGU HAKUUMBA SIMU ILA ALIUMBA MADINI NA SISI BINADAMU TULIFIKIRIA MADINI YATATENGENEZA NINI? SIO MADINI TU MUNGU ALIUMBA MITI HAKUUMBA MAKOCHI, VITANDA, MAKABATI NI BINADAMU KUPITIA HIYO MITI NDIO TUNAPATA SAMANI.
Kitu kingine Mungu hajibu maombi ya binadamu kwa sababu unakuta Mtu anaumwa ataombewa lakini haponi lakini akienda Hospital anatibiwa na anapona.
SISI BINADAMU TUNA UUNGU NDANI YETU.
Manake hakuna Mungu anawezaje kusema Una nguvu ya uungu alafu unaomba Mungu Kiranga
 
Manake hakuna Mungu anawezaje kusema Una nguvu ya uungu alafu unaomba Mungu Kiranga
Naam,

Kuomba ni kukubali kwamba hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Nilishasema hili mara nyingi hapa.

Mungu huyo angekuwepo, asingengojea umuombe mazuri, angekupa tu unachotaka ambacho kinakufaa. Kabla hujamuomba.

Kwa sababu, Mungu huyo ana neema na rehema zote, anatoa mazuri bila kusubiri kuombwa, anajua utakachohitaji kabla wewe hujakihitaji, na atakupa kabla hujaomba.

Ukishajiona una haja ya kuomba kitu tu, ujue umepata uhutaji huo kwa sababu Mungu huyo hayupo.

This is a simole matter of logic.

Ukiona una haja ya kumuomba Mungu, ujue huyo Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) hayupo.

Hiyo haja yako ya kumuomba ni uthibitisho kwamba hayupo.
 
Naam,

Kuomba ni kukubali kwamba hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Nilishasema hili mara nyingi hapa.

Mungu huyo angekuwepo, asingengojea umuombe mazuri, angekupa tu unachotaka ambacho kinakufaa. Kabla hujamuomba.

Kwa sababu, Mungu huyo ana neema na rehema zote, anatoa mazuri bila kusubiri kuombwa, anajua utakachohitaji kabla wewe hujakihitaji, na atakupa kabla hujaomba.

Ukishajiona una haja ya kuomba kitu tu, ujue umepata uhutaji huo kwa sababu Mungu huyo hayupo.

This is a simole matter of logic.

Ukiona una haja ya kumuomba Mungu, ujue huyo ungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote) hayupo.

Hiyo haja yako ya kumuomba ni uthibitisho kwamba hayupo.
Accumen Mo
 
uyo ni clone sio Ye,
yeye mwenyewe alisema kwa battle aliyonayo ikitokea akadisapia kwa muda mrefu akirud mjue sio yeye na kweli limeridi likanye linakichwa kikubwa ajabu
 
I agree with u
Man Jadda Wajada ..Ukielewa huu msemo wala hutoleta uzi .

Kama ingekuwa kila mtu anapanga anachotaka basi kila mtu angekuwa tajiri ,kuna sehemu huwezi kufika hata ufanye japo jihada ni muhimu.
Wanaofanikuwa ni miongoni mwa wanaofanya jitihada ila sio wote..Miujiza kwa imani yangu bing No.

You should strive !
 
Tatizo huwezi kutulazimisha ,Kiranga ni mtu kama wewe tu ,tunaheshimu mawazo yake.

Ila hakuna linaloingia akilini ...Yule professor pale Harvard asingebadili dini kasoma miaka kibao.
Dini ni mambo ya watu tu kujitungia haina uhusiano wowote na Mungu ila ina uhusiano na miungu. Namuamini Mungu lakini sitaki kusikia kabisa kuhusu kitu kinaitwa Dini
 
uyo ni clone sio Ye,
yeye mwenyewe alisema kwa battle aliyonayo ikitokea akadisapia kwa muda mrefu akirud mjue sio yeye na kweli limeridi likanye linakichwa kikubwa ajabu
Conspiracy theory
 
Dini ni mambo ya watu tu kujitungia haina uhusiano wowote na Mungu ila ina uhusiano na miungu. Namuamini Mungu lakini sitaki kusikia kabisa kuhusu kitu kinaitwa Dini
Yule msomi mkubwa pale Harvard asingebadili dini 😂😂...Dini ni zaidi ya unavyojua labda usome ujue dini .

Sio neno tu ,jisalimishe ufanye matendo memo hiyo ndio dini sio kuitwa jina la kiarabu au kizungu sio dini hiyo.
 
Harvard ndio kitu gani mkuu? Na msomi ndio nini mkuu? Tatizo lenu watu wa dini mnatukuza sana vitu msivyo vijua. Kwa mfano waislamu huona fahari sana wanaposikia wazungu na watu maarufu wamesilimu bila kujua kwamba huo ni mpango wa muda mrefu wa kuubomoa " uislamu" from within. Hao wanao kuja kwenye uislamu ndio wanao kuja kuleta mambo yaliyo kinyume na uislamu kama ule msikiti unaofungisha ndoa za mashoga kule Mzansi na UK. So don't trust huyo msomi unaweza kuwa mtego huo. Msomi wa ukweli hawezi kuwa mtu wa dini hata siku moja
 
Mzee utapiga kelele ila mpo wachache ,atheist ilikuwa America kwa sasa inapungua watu wanaingia kweny dini kwa sana.

Ndio maana sio logic kuleta quote ya Kanye west ,unajifunga bro acheni stress ndio mnaongoza kwa kujiua😂😂
 
Back
Top Bottom