Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Mungu hajibu maombi,Ni bipolar muda mwingine yuko sawa mwingine hayuko sawa. Hivyo siwezi kusema alipatia au alikosea haeleweki huyo ndio maana neno lake si la kuchukulia serious
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hajibu maombi,Ni bipolar muda mwingine yuko sawa mwingine hayuko sawa. Hivyo siwezi kusema alipatia au alikosea haeleweki huyo ndio maana neno lake si la kuchukulia serious
Manake hakuna Mungu anawezaje kusema Una nguvu ya uungu alafu unaomba Mungu KirangaKwa kiasi Fulani Maneno ya Kanye west yana ukweli. Kwa ninavyoelewa Mimi ni hivi SISI BINADAMU TUNA UUNGU NDANI YAANI TUNA UWEZO WA KUKAMILISHA MAMBO AMBAYO MUNGU ALIYAUMBA. MUNGU HAKUUMBA SIMU ILA ALIUMBA MADINI NA SISI BINADAMU TULIFIKIRIA MADINI YATATENGENEZA NINI? SIO MADINI TU MUNGU ALIUMBA MITI HAKUUMBA MAKOCHI, VITANDA, MAKABATI NI BINADAMU KUPITIA HIYO MITI NDIO TUNAPATA SAMANI.
Kitu kingine Mungu hajibu maombi ya binadamu kwa sababu unakuta Mtu anaumwa ataombewa lakini haponi lakini akienda Hospital anatibiwa na anapona.
SISI BINADAMU TUNA UUNGU NDANI YETU.
Naam,Manake hakuna Mungu anawezaje kusema Una nguvu ya uungu alafu unaomba Mungu Kiranga
Accumen MoNaam,
Kuomba ni kukubali kwamba hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Nilishasema hili mara nyingi hapa.
Mungu huyo angekuwepo, asingengojea umuombe mazuri, angekupa tu unachotaka ambacho kinakufaa. Kabla hujamuomba.
Kwa sababu, Mungu huyo ana neema na rehema zote, anatoa mazuri bila kusubiri kuombwa, anajua utakachohitaji kabla wewe hujakihitaji, na atakupa kabla hujaomba.
Ukishajiona una haja ya kuomba kitu tu, ujue umepata uhutaji huo kwa sababu Mungu huyo hayupo.
This is a simole matter of logic.
Ukiona una haja ya kumuomba Mungu, ujue huyo ungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote) hayupo.
Hiyo haja yako ya kumuomba ni uthibitisho kwamba hayupo.
Tatizo huwezi kutulazimisha ,Kiranga ni mtu kama wewe tu ,tunaheshimu mawazo yake.
Man Jadda Wajada ..Ukielewa huu msemo wala hutoleta uzi .I agree with u
Dini ni mambo ya watu tu kujitungia haina uhusiano wowote na Mungu ila ina uhusiano na miungu. Namuamini Mungu lakini sitaki kusikia kabisa kuhusu kitu kinaitwa DiniTatizo huwezi kutulazimisha ,Kiranga ni mtu kama wewe tu ,tunaheshimu mawazo yake.
Ila hakuna linaloingia akilini ...Yule professor pale Harvard asingebadili dini kasoma miaka kibao.
Yule msomi mkubwa pale Harvard asingebadili dini 😂😂...Dini ni zaidi ya unavyojua labda usome ujue dini .Dini ni mambo ya watu tu kujitungia haina uhusiano wowote na Mungu ila ina uhusiano na miungu. Namuamini Mungu lakini sitaki kusikia kabisa kuhusu kitu kinaitwa Dini
Harvard ndio kitu gani mkuu? Na msomi ndio nini mkuu? Tatizo lenu watu wa dini mnatukuza sana vitu msivyo vijua. Kwa mfano waislamu huona fahari sana wanaposikia wazungu na watu maarufu wamesilimu bila kujua kwamba huo ni mpango wa muda mrefu wa kuubomoa " uislamu" from within. Hao wanao kuja kwenye uislamu ndio wanao kuja kuleta mambo yaliyo kinyume na uislamu kama ule msikiti unaofungisha ndoa za mashoga kule Mzansi na UK. So don't trust huyo msomi unaweza kuwa mtego huo. Msomi wa ukweli hawezi kuwa mtu wa dini hata siku mojaYule msomi mkubwa pale Harvard asingebadili dini 😂😂...Dini ni zaidi ya unavyojua labda usome ujue dini .
Sio neno tu ,jisalimishe ufanye matendo memo hiyo ndio dini sio kuitwa jina la kiarabu au kizungu sio dini hiyo.
Mzee utapiga kelele ila mpo wachache ,atheist ilikuwa America kwa sasa inapungua watu wanaingia kweny dini kwa sana.Harvard ndio kitu gani mkuu? Na msomi ndio nini mkuu? Tatizo lenu watu wa dini mnatukuza sana vitu msivyo vijua. Kwa mfano waislamu huona fahari sana wanaposikia wazungu na watu maarufu wamesilimu bila kujua kwamba huo ni mpango wa muda mrefu wa kuubomoa " uislamu" from within. Hao wanao kuja kwenye uislamu ndio wanao kuja kuleta mambo yaliyo kinyume na uislamu kama ule msikiti unaofungisha ndoa za mashoga kule Mzansi na UK. So don't trust huyo msomi unaweza kuwa mtego huo. Msomi wa ukweli hawezi kuwa mtu wa dini hata siku moja