Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Nipo tayari mda wowoteUkiwa tayari kufanya mjadala wenye tija,
mjadala wenye kufuata kanuni na mantiki,
mjadala wenye kupangilia hoja
karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo tayari mda wowoteUkiwa tayari kufanya mjadala wenye tija,
mjadala wenye kufuata kanuni na mantiki,
mjadala wenye kupangilia hoja
karibu
Acha porojo serikali haina dini ila watu wake wana dini ,sikuu za kidini zinajulikana Tanzania mpaka mitaala ya masomo ya dini.Maana huelew kuwa kuna nchi nyingi zisizo za kidini ikiwemo Tanzania yetu, pamoja na kuwa na idadi kubwa ya waamini lakini rate ya matukio ya kujiua ikawa juu.
Hapo inauhusiano gani na atheist kuongoza kujiua.
Najenga hoja, mtu unabisha tu bila kuonesha hoja yako ilipo..
Unadhani ni mjadala wenye afya huo!?
Ila ungeweza kunijibu swali langu moja tu ingalikuwa vyema sana.
Swali hili limekuchemsha
Theist hawafi!?
Kumbe hauelewi nkikwambia nchi zinazoongozwa kidini na nchi zisizoongozwa kidini?Acha porojo serikali haina dini ila watu wake wana dini ,sikuu za kidini zinajulikana Tanzania mpaka mitaala ya masomo ya dini.
Nchi yenye watu wasiokuwa na dini kama south Africa ni balaa.
Mungu huyo haogopwi.Watu ambao hawaamini uwepo wa mungu ndio huwa wanaongoza kumuogopa mungu.
"indeed to allah we belong and to allah we shall return"[emoji907]
Serikali ni nn? Acha ujinga serikali yote viongozi ni watu na wana dini zao.Kumbe hauelewi nkikwambia nchi zinazoongozwa kidini na nchi zisizoongozwa kidini?
Unaelewa kuwa kuna nchi zinaongizwa kidini na nchi zisizoongozwa kidini?
Nmekwambia Tanzania ni moja ya nchi isiyo ya kidini, ila haimaanishi kuwa haina watu wengi wanaoamini dini,
South Africa haiongozwi kidini ila ina waamini wengi tu kama Tanzania.
Nchi kama Saud Arabia hiyo ni nchi ya kidini, hata sheria zake ni za kidini.
Unaelews hapo
Kasheshe kweli kweli,Serikali ni nn? Acha ujinga serikali yote viongozi ni watu na wana dini zao.
Kuongozwa kidini na watu ndio wana dini 🤣🤣🤣kwani Tanzania mbona viongozi wa dini wanajulikana..
Mfumo wa serikali hauna dini ina maana mtu yoyote yule kutoka dini yoyote anatambulika ,labda useme nchi zenye muongozo wa dini moja .
Mpaka Rais ana dini yake ,nenda korea hakuna sikukuu ya kiislamu wala kikristo hapo ndio hamna dini ..
Kwa mara nyingine, unaweza kufananisha utawala wa United Arab Emirates na Tanzania?Serikali ni nn? Acha ujinga serikali yote viongozi ni watu na wana dini zao.
Kuongozwa kidini na watu ndio wana dini 🤣🤣🤣kwani Tanzania mbona viongozi wa dini wanajulikana..
Mfumo wa serikali hauna dini ina maana mtu yoyote yule kutoka dini yoyote anatambulika ,labda useme nchi zenye muongozo wa dini moja .
Mpaka Rais ana dini yake ,nenda korea hakuna sikukuu ya kiislamu wala kikristo hapo ndio hamna dini ..
We jamaa unaelewa kweli🤣🤣?Kasheshe kweli kweli,
Sasa maelezo mazuri na mepesi kama yale yanakushinda kuyaelewa!!?
Narudia tena
Unaelewa keamba kuna nchi zinaongozwa kidini na nchi zingine haziongozwi kidini,
Yaani kuna nchi serikali yake inaongozza wananchi kidini (serikali ina dini) na kuna nchi serikali haina dini?
Unaelewa na kukubali hilo?
Wewe jamaa unaelewa kweli ? Kila nchi ina taratibu zake Saudi na Afghanistan majority ni waislamu.Kwa mara nyingine, unaweza kufananisha utawala wa United Arab Emirates na Tanzania?
Unaweza fananisha serikali ya Afghanistan (Islamic emirates of Afghanistan 🇦🇫) na serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania 🇹🇿 ?
Afghanistan ni nchi ya kidini ama si ya kidini?We jamaa unaelewa kweli🤣🤣?
Sema sheria za dini , kila nchi ina utaratibu wake sio zote zinafuata demokrasia maana Marekani hata kiwango cha mauaji kipo juu.
Tanzania inatambua dini zote kwa vile wananchi wake wengi wana dini , serikali haipo upande wowote kweny hizo dini ila watu wake ndio wana dini.
Ina maana kuna sikukuu za dini zote zinatambulika ...
Utakuwa unamatatizo ya akili.Wewe jamaa unaelewa kweli ? Kila nchi ina taratibu zake Saudi na Afghanistan majority ni waislamu.
Kwani unafikria katiba inatoka mbinguni 🤣🤣 yale ni mawazo ya watu hata democracy ni watu wameandika ...Zipo nchi za kifalme hapa tunaongelea Tz ,wewe hujui chochote kuhusu saudi wala Afghanistan kama unabisha nionyesha passport lin umeingia ukaishi hizo nchi!?
Badala ya kujibu nlichokuuliza, unaongea mambo mengine ya hovyo,Wewe jamaa unaelewa kweli ? Kila nchi ina taratibu zake Saudi na Afghanistan majority ni waislamu.
Kwani unafikria katiba inatoka mbinguni 🤣🤣 yale ni mawazo ya watu hata democracy ni watu wameandika ...Zipo nchi za kifalme hapa tunaongelea Tz ,wewe hujui chochote kuhusu saudi wala Afghanistan kama unabisha nionyesha passport lin umeingia ukaishi hizo nchi!?
Kwa ufupi tu,Wewe jamaa unaelewa kweli ? Kila nchi ina taratibu zake Saudi na Afghanistan majority ni waislamu.
Kwani unafikria katiba inatoka mbinguni 🤣🤣 yale ni mawazo ya watu hata democracy ni watu wameandika ...Zipo nchi za kifalme hapa tunaongelea Tz ,wewe hujui chochote kuhusu saudi wala Afghanistan kama unabisha nionyesha passport lin umeingia ukaishi hizo nchi!?
Baba aliparalize niliomba Sanaa kipindi hicho nikiwa mtoto Ila ALIKUFAMungu yupo, na anajibu maombi ya wote wamuombao, twapasa kujifunza namna ya kuomba na kusubiri majibu.
kuna watu wanamlazimisha Mungu kujibu maombi yao, anaomba kirejareja asipofaniwa anasema hakuna Mungu.
Inafuata sheria za diniAfghanistan ni nchi ya kidini ama si ya kidini?
Ujinga wako na imani yako ndio ujinga wako....Unataka kulazimisha tufuate imani yako mjinga kweli 🤣🤣Utakuwa unamatatizo ya akili.
Imani ni shambulio la akili.
Shule umesoma kweli ,nimekuambia sheria kila nchi ina taratibu zake ... Tanzania ina wakristo na waislamu kweny uwiano wa karibu ndio maana serikali haina dini ila wananchi wake wana dini.Kwa ufupi tu,
Afghanistan ni nchi inayoongozwa kidini,
Hata sheria zake za taifa, zinamisingi ya dini ya kiislamu, unahukumiwa kutokana na quran,
Skukuu kama Eid ni skukuu za kitaifa.
Ukiangalia kwa Tanzania ni nchi isiyo ya kidini,
Haiongozwi kwa msingi wa dini yeyote, sawa kabisa na South Africa.
Sasa unaelewa nlichokiongelea post #103?
Wapi nmelazimisha ufuate imani nyingineUjinga wako na imani yako ndio ujinga wako....Unataka kulazimisha tufuate imani yako mjinga kweli 🤣🤣