Kanzu kwa kiingereza inaitwaje?

Kanzu kwa kiingereza inaitwaje?

Kanzu = Thobe (Ile tuliyoizowea kwetu hapa).

Alternative forms

Etymology

Arabic ثوب‎ (ṯawb).
Noun

thobe (plural thobes)

  1. An ankle-length robe with long sleeves worn by some Arab men.

Source: thobe - Wiktionary

Ile wanayovaa mapadri na wajuu yao wa kanisa Katoliki inaitwa
"Cassock".

noun 1. a long, close-fitting garment worn by members of the clergy or others participating in church services.

2. a lightweight, double-breasted ecclesiastical coat or jacket, worn under the Geneva gown.

3. a member of the clergy.

Origin:
1540&#8211;50; < Middle French casaque, perhaps < a Turkic word akin to the source of cossack

Source: Cassock | Define Cassock at Dictionary.com
 
Inategemea unazungumzia kanzu ya nani! kama ni sheikh au judge ni Gown, lakini kama ni Kanzu ya Kasisi (priest) inaitwa ALB inatokana na jina la Ki-ratin lugha ya Kanisa.
 
Kanzu kwa kingereza ni robe, gown ni joho kam la graduation
 
Kanzu = Thobe (Ile tuliyoizowea kwetu hapa).

Alternative forms

Etymology

Arabic &#1579;&#1608;&#1576;&#8206; (&#7791;awb).
Noun

thobe (plural thobes)

  1. An ankle-length robe with long sleeves worn by some Arab men.

Source: thobe - Wiktionary

Ile wanayovaa mapadri na wajuu yao wa kanisa Katoliki inaitwa
"Cassock".

noun 1. a long, close-fitting garment worn by members of the clergy or others participating in church services.

2. a lightweight, double-breasted ecclesiastical coat or jacket, worn under the Geneva gown.

3. a member of the clergy.

Origin:
1540–50; < Middle French casaque, perhaps < a Turkic word akin to the source of cossack

Source: Cassock | Define Cassock at Dictionary.com

ahsante dada faiza foxy kwa ufafanuzi. Umenena vema.
 
Last edited by a moderator:
Inategemea unazungumzia kanzu ya nani! kama ni sheikh au judge ni Gown, lakini kama ni Kanzu ya Kasisi (priest) inaitwa ALB inatokana na jina la Ki-ratin lugha ya Kanisa.

ahsante kwa mchango wako
 
ahsante dada faiza foxy kwa ufafanuzi. Umenena vema.

Kwa kuongezea tu, ingawa dictionary zimeelezea kuwa neno "Cassock" linatokana na ki Turkey lakini kwa ilm yangu, hilo neno linatokana na Kiajemi na kama unaijuwa historia ya kwetu hapa na Waajemi (shirazi) utaweza kuunganisha kwanini leo hii sisi tunaiita "kanzu".

"Cassock" linavyotamkwa linafanana na Kanzu tuitavyo sisi.
 
.... inaitwa ALB inatokana na jina la Ki-ratin lugha ya Kanisa.

Ki-Latin ndo sahihi....!naungana na dada Faiza Foxx kwenye "cassock,Ila tembea uone huku Mosambique kanzu wanaita "MALAYA" hakyi nani nilipigwa na butwaa Eid ya juzi.....
 
Back
Top Bottom