TANZIA Kaoge afariki dunia

TANZIA Kaoge afariki dunia

Screenshot_20220205-084303.jpg
 
Kaka maarufu kwa jina la Kaoge ambaye alileta tafrani baada ya kuhojiwa kwenye kipindi cha Take One cha Zamaradi Mketema, na kukiri anajihusisha na vitendo vya jinsia moja amefariki dunia.

Chanzo cha kifo chake inasemekana ni kushindwa kukubaliana na hali aliyokuwa nayo......( mjiongeze )

Duh hii nchi tumeona mengi
 
Back
Top Bottom