Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Wasukuma wingi wetu si kuzaana, nature yetu (asili) ndicho chanzo, zaa tu mapori ya kilimo bado ni mengi [emoji23] [emoji23] [emoji23]bora uliopo nao huko nadhan wanakaexposure !dah nadhan tupunguze kuzaana wasukuma jaman !yaan imekuwa toomuch !
Wasukuma wingi wetu si kuzaana, nature yetu (asili) ndicho chanzo, zaa tu mapori ya kilimo bado ni mengi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Serikali imewatelekeza. They live in fear and cannot access basic medical services. What do you expect?
Ata harufu ya Pepo hatoisikia uyuHuyu hakupata kalimati 'laailaha'
Dah!!!...he/she should rest in hell!!...Wasukuma watamkana ndugu yao walivyo wajinga!
Maandiko yameshaelekeza ktk imani zote mwenye matendo hayo makazi yake ni jahannam mhm tuliohai kumuomba Mungu atuepushe na adhabu hiyo sisi na vizazi vyetu,ndio hawa wanasababisha mvua hazinyeshi na zikinyesha dar tunaishi kama bata,bado rey younger tupumue.Kaka maarufu kwa jina la Kaoge ambaye alileta tafrani baada ya kuhojiwa kwenye kipindi cha take one cha zamaradi mketema, na kukiri anajihusisha na vitendo vya jinsia moja amefariki dunia.
chanzo cha kifo chake inasemekana ni kushindwa kukubaliana na hali aliyokuwa nayo......( mjiongeze )
Mungu sio kilaza alishatupa mwongozo wa kuishi binadam,kilichobaki ni sisi kuufuata au kuuacha,fuata usalimike acha uangamie sasa kaoge mwisho kaishie pabaya kama hakutubu,ni sawa na sisi tulio hai tusipotubu tutaangamia na mwisho hatuujui mhm maandalizi kama kesho tunaondoka,kwa mujibu wa imani kwa matendo ya kaonde kama hakutubu anaenda kuwa kuni.Mungu siyo binadamu,mimi na wewe tunaweza kwenda motoni halafu yeye akaenda zake mbinguni!![emoji53][emoji53][emoji53]
Ohooooo!!!Alikua muathirika akagoma kula dozi
[emoji106]Pumzi zinatuhadaa kwa kudhan labda tutaishi milele
Soma maandiko vizuri Mungu hakuiangamiza Sodoma na Gomorah kwa ajili ya ushogaBinaadamu kwa unafki. Eti aende peponi,mara ooh usihukumu. Kama Mwenyezi Mungu aliweza kuuchoma mji wa sodoma na gomora,atawezaje kupindua haki hadi ampeleke mbinguni??
Najua hakuna mkamilifu wala hakuna mwenye haki ya ku hukumu isipokuwa ni yeye tu,lakini huyu kijana na wenzie wenye tabia kama hizi..wachomwe tu na vifuu kibao vya nazi.
Kila siku mnakesha kukemea ushoga,lakini akifa shoga ooh usihukumu..
Unafki on freak
I love you dear.I love you.
Comment nzuri sana