Sauka Mangi
Member
- Oct 22, 2017
- 12
- 4
Sasa cd4 zikiisha kunabaki na cd1 au cdziro mana yke wewe kwaheriHahaaaaaaa ingawa ni huzuni ila mkuu we kiboko
Wanaume tuna roho ngumu kma ya wasiojulikana,yani kaoge na sura lake lote alikua anaitwa bebiMi nlikua nikimtizama alivo na sura ngumu ya kazi, ana makovu namuwazia takko lilivo dah wanaume wana kazi....
Pole wafiwa
dullar square kumbe ni chakula na yy???
Huko aendako huna mamlaka nako na huna sababu yo yote ya kuwa na wasiwasi nako. Hiyo ni kazi ya Mungu ndugu yangu na utashangaa Marehemu pengine alishajiweka sawa na Mungu wake kabla ya pumzi yake ya mwisho na siku ya siku unamkuta yuko peponi na wewe unayejifanya hapa uko kwa akina Yuda Iskariote wakichochea moto sabini mara sabini. Kamwe tusihukumu
Nipo baba chachaMama chacha, hujambo?[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu mashoga wanatoka kila kabila.Ifanyike sensa ya kuwabaini waskma mashoga " bashyte" achunguzwe...
Ile chakula safi tudullar square kumbe ni chakula na yy???
Kuna yule lucky moyo mashine, hadi anasuka rasta jamani mmhWanaume tuna roho ngumu kma ya wasiojulikana,yani kaoge na sura lake lote alikua anaitwa bebi
Hao wenu huko dar,sisi hku wanajifichafichaKuna yule lucky moyo mashine, hadi anasuka rasta jamani mmh
Nimejikuta nami nimeliwazia hiloKweli dunia mapito sema wasiwasi wangu ni huko aendako
Moja ya njia ya kuwabaini ni komenti zao wanajidai wako makini na wanaheshimu haki za binadamu.Kuna watu humu machakla mkuu wanatetea kweli ushogaa
Don't Judge
Let God do His work.