Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,074
Najua maana ya neno Sodomy ila sio kweli kwamba Mungu aliiangamiza Sodoma na Gomorah kwa ajili ya ushoga. For your information sodomy na ushoga ni vitu viwili tofauti. In fact most sodomy inafanywa between men and women.Tafuta na angalia vizuri maana ya sodomy