TANZIA Kaoge afariki dunia

TANZIA Kaoge afariki dunia

Kama kweli kuna kupumzika kwa amani baada ya kifo kama inavyodaiwa na baadhi yetu....basi na akapumzike huyu mtu
 
maskini..
angekubali tu akaanza kutumia vidonge.

kapumzike kijana.
waswahili wataanza kukuchamba hapa ilhali huwezi kuwajibu
Mungu ndo wa kukuhumu sio binadamu mwenzio asiekamilika pia.
Mungu Lazima amuhukumu Huyu tena Wala hata kutananaye huyo ninmojakwamoja motoni ! Maana Hata sodoma n'a gomola aliwaita adabu kwa moto baada ya kufanya vitendo Kama hivyo !
 
Bora alivyokufa tu

Tena huyu hatakiwi kuzikwa na sanda inabidi afukiwe kama mbwa tu
Hapana yule ni binadamu Kama Mimi na wewe ndugu ,pamoja na kuwa shoga lkn anamazuri yake tusiwe wepesi Wa kutoa hukumu acha maumbile (nature/Mungu) ndie muamuzi Wa mwisho maana ni fumbo tumefumbwa sisi binadamu siku roho ikiachana na mwili ni wapi iendako.....
 
Najua ila yule kwa uchoko ule moto anao!
Mbali na ushoga hatujui maisha yake alikua anaishije....me naamini ata mtu awe jambazi lkn ana mazuri yake...Mungu ndo ajuae mwisho wetu utakuaje na roho zetu za kwenda wapi zinapo tengana na mwili....tusiwe wepesi kuhukumu ilihali kesho yako huijui....
 
Soma maandiko vizuri Mungu hakuiangamiza Sodoma na Gomorah kwa ajili ya ushoga
Tafuta na angalia vizuri maana ya sodomy
Najua maana ya neno Sodomy ila sio kweli kwamba Mungu aliiangamiza Sodoma na Gomorah kwa ajili ya ushoga. For your information sodomy na ushoga ni vitu viwili tofauti. In fact most sodomy inafanywa between men and women.
Yuda 1:7
[7]Kama vile Sodoma na Gomora na miji iliyokuwa kando-kando, waliofuata uasherati kwa jinsi moja na hawa, wakaenda kufuata mambo ya mwili yasiyo ya asili, imewekwa kuwa dalili, wakiadhibiwa katika moto wa milele.

Isaya 1:9
[9]Kama BWANA wa majeshi asingalituachia mabaki machache sana, tungalikuwa kama Sodoma, tungalifanana na Gomora.

1 Timotheo 1:10
[10]na wazinifu, na wafiraji, na waibao watu, na waongo, nao waapao kwa uongo; na likiwapo neno lo lote linginelo lisilopatana na mafundisho yenye uzima;
 
najiona nini tena mkuu !kwa taarifa yako mie ni pure msukuma sipo hapa kuwakshif wasukuma tunaongelea reality !sasa najiona nn sasa !khaa!wewe ndo wa kwanza kuniambia hilo neno aisee
hebu jaribu Ku review replies zako kuhusu wasukuma...mostly umeponda as if wewe uko nje ya jamii hii, sidhani kama nakushinikiza ukubaliane na kila kitu cha wasukuma lakini nachoamini ni kuwa "charity begins at home"
mitazamo ya wengi ( wasio wasukuma) juu ya wasukuma yaweza kuwa tofauti pengine, lakini si kwa msukuma mwenyewe kuhamasisha.
 
hebu jaribu Ku review replies zako kuhusu wasukuma...mostly umeponda as if wewe uko nje ya jamii hii, sidhani kama nakushinikiza ukubaliane na kila kitu cha wasukuma lakini nachoamini ni kuwa "charity begins at home"
mitazamo ya wengi ( wasio wasukuma) juu ya wasukuma yaweza kuwa tofauti pengine, lakini si kwa msukuma mwenyewe kuhamasisha.

hahahahahaha pole sana !kwahyo kama kuna mambo hatufanyi vyema nisifie tu ? bas kwa tatarifa fupi nalipenda kabila langu !na huwa sijifichi hata kidg kwanza mie nikiskia neno sukuma huwa naanza kucheka !kuna vitu huwa nacheka mimi kaMa mm !hata tukiwa home siye hukumbushiana vituko na ushamba wa wasukuma !again POLE SANA SANA
 
Back
Top Bottom