Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Ahsante kwa mchango wako maridhawaLaiti wanaume wakiacha kuwala wanaume wenzao Ushoga hautokuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa mchango wako maridhawaLaiti wanaume wakiacha kuwala wanaume wenzao Ushoga hautokuwepo
Muombee pumziko jema, lakini usitegemee maombi yako Mungu atayajibu kwani alishaweka hukumu ya hiyo kitu kabla.Sasa huyu tumwombeeje? Mungu ana kazi kweli!!!!
hahahaaa pole kwa maumivuNiache dada mbona hivyo!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nahis umeandika kwa hasira[emoji23] [emoji23] ila vp siku ukifariki ukakutana nae utalikimbia hilo eneo liopo[emoji23]labda mbingu ya mashoga yenye mungu shoga.
nadhani kuna kitu kinaitwa " Utamaduni" ambacho unapaswa ujue kuwa kila kabila iko Nayo na ndiyo Id yake, siamini kama wasukuma ni wakosaji A-Z wana mazuri yao pia ambayo jamii nyingi zimeyatia kapuni kiasi kwamba mabaya ndo Yamekuwa Icon ya wasukuma,
hali hii imewafanya hata wasukuma baadhi wajihisi wakosaji na washamba ama wasiostahili na kuanza kuungana na wakosoaji wakiamini kuwa wao watapata unafuu wa kisaikolojia juu ya hii mitazamo dhidi yao.
Cha msingi.
shule zipo kila kona ya nchi hii si kwa ajili ya wasukuma pekee, bali kuwaelimisha watu wote ili kuondoa ujinga na kuwaweka kuwa jamii moja ya kitanzania.
Weka picha ya hiyo nundu ili ummat huu wajifunze...Alikua na nundu kwenye komwe na pengo..hahaha alikua anajikubali huyo..madem Wa JF igeni confidence ile..[HASHTAG]#Nduki[/HASHTAG]
Hapo waliokua wanampanda matumbo jotoNa alale alipojiandalia.....
Angekubali tu kula vidonge akae kidogo!
mama sidhani kama unachosema ni chaguo la fikra huru, ujenzi wa hoja ni hekima na si kujibu kila jambo kwa mtazamo wa kiujumla, akili zipo Ila zinapaswa zishirikishwe kikamilifu ili kujenga maarifa na busara pasipo kutumia ujumla wa mambo katika kujadili mambo husika.mbona unaumizwa sana na ukosoaji na kebehi kwa wasukuma mkuu? huenda nawe ni mmoja wapo wa wanaooga kwa lisaa lizima nusu saa anasugua yebo !lol
ndio maana nkawaambia muachieni Mungu.Mungu Lazima amuhukumu Huyu tena Wala hata kutananaye huyo ninmojakwamoja motoni ! Maana Hata sodoma n'a gomola aliwaita adabu kwa moto baada ya kufanya vitendo Kama hivyo !