Kaokoka lakini vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki. Nifanye nini?

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Iko hivi, nina binti nimemtongoza sasa yeye huwa anajiona mtu wa dini sana, kiufupi eti kaokoka lakin vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki eti anasema ni mapema hawezi nipa mzigo ila pesa ananiomba.

Mpaka sasa amekula kama 60,000 ivi sasa nikimwambia kuhusu show analeta ety ooooh mapema sasa, je, nitumie mbinu gani nimkule tuuu niachane naye.
 
muulize hivi

hivi mimi na wewe ni mtu na nani yake

akijibu mtu na mpenzi wake basi mwambie hivi aache kukupa majukumu kama mume wake

ina maana aache kukuomba hela

kama atakuomba hela basi ina maana yeye ni mke wako basi akubali kukutimizia mahitaji yako kama mume na mke
 
Sawa sawa
 
Ebu tafuta hela, watakuja wenyewe kukuletea mizigo ya kila aina mazeee
 

Attachments

  • downloadfile-13.jpg
    59 KB · Views: 5
wewe ni zwazwa!.
 
Hela hii ni ya kununulia papuchi!Hapo je?
 
Sio mapema sana kudiscuss hizi issue?

Okay, ila ni hivi, sikushauri umuhudumie mtu asie na mpango wa kukupa mzigo.
 
Mbake!!
 
Kwanini umkule halafu uachane nae? Mwambie tu ni dhambi kula hela ya Mwanaume bure, ni wizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…