Kaokoka lakini vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki. Nifanye nini?

Mpaka sasa amekula kama 60,000 ivi sasa nikimwambia kuhusu show analeta ety ooooh mapema sasa, je, nitumie mbinu gani nimkule tuuu niachane naye.

Hebu wekeza akili yako kwenye kutafuta pesa kwanza...

Kama 60,000 tu ndio inakufanya uanzishe uzi, basi ujue una hali mbaya...
 
Iko hivi, nina binti nimemtongoza sasa yeye huwa anajiona mtu wa dini sana, kiufupi eti kaokoka lakin vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki eti anasema ni mapema hawezi nipa mzigo ila pesa ananiomba.

Mpaka sasa amekula kama 60,000 ivi sasa nikimwambia kuhusu show analeta ety ooooh mapema sasa, je, nitumie mbinu gani nimkule tuuu niachane naye.
Bro she is using you in her favour, achana nae mbona vitumbua ni vingi sana mtaani.

Au hakuna madogo waliotoka JKT mtaani kwenu?
 
Iko hivi, nina binti nimemtongoza sasa yeye huwa anajiona mtu wa dini sana, kiufupi eti kaokoka lakin vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki eti anasema ni mapema hawezi nipa mzigo ila pesa ananiomba.

Mpaka sasa amekula kama 60,000 ivi sasa nikimwambia kuhusu show analeta ety ooooh mapema sasa, je, nitumie mbinu gani nimkule tuuu niachane naye.
60k unalalamika hadi jf 🤣🤣🤣🤣
 
Hakutaki, jikate mapema tu. Sio kila 'ke wakufakamia, utajizolea mambo hautaamini
 
Back
Top Bottom