Kaokoka lakini vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki. Nifanye nini?

heshimu imani ya mtu
 
Endelea kutoa pale unapopata hitaji lako, iwe 50/50.
Hii itakuepusha na hasira na madhara yatokanyo na hasira pale atakapokuacha kwenye mataa.

Wewe unataka mizagamuo hupati, yeye anataka pesa na anapata hapo tayari ushapigwa 3-0, kuepuka fedheha kama aliyopata kolowizard ya 5-1 basi mteme tu, tafuta ambae mtapeana kwa usawa.
 
Dahh Alafu ukute kuna muhuni anakula bure hapo hapo
 
he!hiyo 60000 ungezama nayo tinder ungelamba utelezi safi na chenji ingebaki,shtuka huyo ni chuma ulete
 

Attachments

  • 20240917_142243.jpg
    408.6 KB · Views: 3
Ni mara ngapi tunasema humu ndani kuwa imani ya mwanamke haifanyi kuwa mwenza sahihi?
Acha uendeelee kupigwa
 
Mi sijaokoka ntumie.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…