Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ma-DJ wa singeli ndo wanatengeneza beats sana ama? By the way hii ni applications kwa ajili ya kutengeneza beats sio djying apps!tafuta madj wa singeli wanazijua balaa
AsanteKwani ma-DJ wa singeli ndo wanatengeneza beats sana ama? By the way hii ni applications kwa ajili ya kutengeneza beats sio djying apps!
Ushauri
Tafuta studio ambayo wana deal na music productions na ni bora ukaenda kwa wale ambao bado hawajawa na watu wengi na hawajaota popular sana, omba producer mmoja awe anaku train kwa program ambayo atakupangia. Ukipata basics vingine vitajisumbukia.
Muhimu kuzingatia ni kwamba kazi nyingi za sanaa unapewa basics, ubunifu ndio utakaokutoa kukupeleka hatua zingine. Kila la kheri.