Kaomba kufundishwa program ya FL studio

Kaomba kufundishwa program ya FL studio

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
893
Reaction score
1,739
Habari wadau,

Naomba msaada wa kufundishwa program ya FL studio, Sina PC.

Nipo Dar.

Kwa aliye tayari karibu PM

Asanteni
 
tafuta madj wa singeli wanazijua balaa
Kwani ma-DJ wa singeli ndo wanatengeneza beats sana ama? By the way hii ni applications kwa ajili ya kutengeneza beats sio djying apps!

Ushauri
Tafuta studio ambayo wana deal na music productions na ni bora ukaenda kwa wale ambao bado hawajawa na watu wengi na hawajaota popular sana, omba producer mmoja awe anaku train kwa program ambayo atakupangia. Ukipata basics vingine vitajisumbukia.

Muhimu kuzingatia ni kwamba kazi nyingi za sanaa unapewa basics, ubunifu ndio utakaokutoa kukupeleka hatua zingine. Kila la kheri.
 
Asante
 
Anza na YouTube humo kuna kila kitu kuhusu production mkuu,hadi music theory utvikuta humo
Baadhi ya channel za kuanza nazo hiz
 
Hizi
 
Attachments

  • pr.png
    pr.png
    62.7 KB · Views: 10
Back
Top Bottom