Kaona mambo huyawezi, kaja kwangu

Usiogope kajukuu.

Kwa Pope Kaizer sina mashaka. Ila Roya, Kimey na Teamo....Sina imani nao kiabisaaa. Wachakachuaji wakubwa tena malabuku zao.:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:

Tatizo Asprin ukishaanza kujiita babu basi hufai...unakua kabaila waziwazi..
 
Katiba ni sehemu ya maisha yangu....kama kingunge na katiba ya jembe na nyundo...

Andaa audited accounts kabisa....

Wewe ni kama nani unipe order hiyo? We tumeshakupiga chini. Tunekuhamishia kule kwa kajukuu wakakupiga msasa. Tuachie ISC tafazali.:nono::nono::nono:
 
Wewe ni kama nani unipe order hiyo? We tumeshakupiga chini. Tunekuhamishia kule kwa kajukuu wakakupiga msasa. Tuachie ISC tafazali.:nono::nono::nono:

Unasahau huwa makala anatumwa na makamba...
 
Miss you so much my dears.Sio kama napenda,tatizo ni huu uchaguzi...Najaribu kuchakachua ili tushinde kwa kshindo na ndio maana hii mitaa ya MMU niliondoka kidogo.Bila shaka hapa ni pema na Mila mbaya zote zimeshindwa na kulegea.....

Umesamehewa dhambi zako...karibu kwa amani....
 
Mimi naishi katiba....
Nafikiria kuongea na rais abatilishe adhabu yako.

Miss you so much my dears.Sio kama napenda,tatizo ni huu uchaguzi...Najaribu kuchakachua ili tushinde kwa kshindo na ndio maana hii mitaa ya MMU niliondoka kidogo.Bila shaka hapa ni pema na Mila mbaya zote zimeshindwa na kulegea.....

Karibu tena ZD. Mchumba nilikukosa sana. Hajambo mkoloni? Angalia asikuchakachue. Baba hapendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…