Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,972
Inahitaji watu wa tafakuri kumwelewa Mwafrika. thredi hii inampamba Dr Slaa kuwa ni mtanzania aliyekataliwa na CCM mafisadi akaingia Chadema na kukiimarisha chama. Anatoa ujumbe kwa njia ya kuwatania CCM ambao wanadhihaki kila anayetoka CCM. Eti watawasindikiza wanaotoka CCM.
Dr Slaa waliyemkataa amekiimarisha Chadema na upinzani na sasa ni rais mtarajiwa. Mwafrika anatoa ujumbe kuwa jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Inabidi watu wajifunze kusoma na kuelewa kwa kusoma neno kwa neno na pia kwa ujumla wake.
Hakuna fasihi yoyote iliyotumika ndugu yangu, eti kudai kwamba kapi la CCM (Dkt Slaa) akataliwe na CHADEMA eti kwa kuwa amekuja kusambaratisha upinzani!