Elections 2010 Kapi la CCM (Dr Slaa) lilivyobadili siasa za upinzani Tanzania

Elections 2010 Kapi la CCM (Dr Slaa) lilivyobadili siasa za upinzani Tanzania

Inahitaji watu wa tafakuri kumwelewa Mwafrika. thredi hii inampamba Dr Slaa kuwa ni mtanzania aliyekataliwa na CCM mafisadi akaingia Chadema na kukiimarisha chama. Anatoa ujumbe kwa njia ya kuwatania CCM ambao wanadhihaki kila anayetoka CCM. Eti watawasindikiza wanaotoka CCM.

Dr Slaa waliyemkataa amekiimarisha Chadema na upinzani na sasa ni rais mtarajiwa. Mwafrika anatoa ujumbe kuwa jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Inabidi watu wajifunze kusoma na kuelewa kwa kusoma neno kwa neno na pia kwa ujumla wake.

Hakuna fasihi yoyote iliyotumika ndugu yangu, eti kudai kwamba kapi la CCM (Dkt Slaa) akataliwe na CHADEMA eti kwa kuwa amekuja kusambaratisha upinzani!
 
Inahitaji watu wa tafakuri kumwelewa Mwafrika. thredi hii inampamba Dr Slaa kuwa ni mtanzania aliyekataliwa na CCM mafisadi akaingia Chadema na kukiimarisha chama. Anatoa ujumbe kwa njia ya kuwatania CCM ambao wanadhihaki kila anayetoka CCM. Eti watawasindikiza wanaotoka CCM.

Dr Slaa waliyemkataa amekiimarisha Chadema na upinzani na sasa ni rais mtarajiwa. Mwafrika anatoa ujumbe kuwa jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Inabidi watu wajifunze kusoma na kuelewa kwa kusoma neno kwa neno na pia kwa ujumla wake.
Sasa huwezi amini wengi wamempiga mawe na nadhani hawasomi between the lines. Mi hata sielewi...
 
ona hapa Kapi la CCM (Dr Slaa) lilivyobadili siasa za upinzani Tanzania

CCM kama kawaida yao wanachukua the best.

Slaa alishinda uchaguzi, wakuu wa vyama wakamtosa (wakafuata ushauri wa Kiranga).

Kwa vile Slaa alikuwa kapi, CCM walitaka ngano, wananchi wa karatu wakawaletea makapi, ccm wakayakataa.

Akiwa kama kapi, akaomba kujiunga na chadema.

Chadema kama kawaida ya kuchukua makapi (hata sijui kwa nini walimkataa Mrema), wakamkubali.

Slaa akaingia CHADEMA... amekivunjilia mbali hicho chama(CCM).

Ushauri kwa CHADEMA.

Msikilizeni Kiranga (mtaalamu wetu wa siasa), achaneni na makapi ya ccm (kama Dr Slaa).

Haya makapi (kina Slaa) hayana nia nzuri na chama chenu(CCM), yanataka kuvuruga upinzani(upinzani wa chadema ni CCM.

Hii inahitaji uwe na makengeza uweze kumuelewa huyu jamaa hongera mwandishi ujumbe umefika ila wengine ni ngumu kuelewa ulichoandika wakati mwingine tumia lugha rahisi
 
Yeah, kutafakari tunachosoma wakati mwingine inakuwa tabu sana. Kama ulivyocomment hapo juu Invisible, ni kweli wengine wameshindwa kumwelewa Mwafrika.
 
Yeah, kutafakari tunachosoma wakati mwingine inakuwa tabu sana. Kama ulivyocomment hapo juu Invisible, ni kweli wengine wameshindwa kumwelewa Mwafrika.
Mkuu, baadhi ya watu wanakuwa na unazi kwa vyama, nahisi ndo maana wengine hata hawaangalii anachoandika mtu na kuki-evaluate badala yake kuanza kumwandama mtu badala ya hoja. Same applies kwa alichoandika Rev Kishoka, inahitaji ufikirie kwanza kabla ya kujibu!
 
Sasa huwezi amini wengi wamempiga mawe na nadhani hawasomi between the lines. Mi hata sielewi...

Lakini naona kichwa cha habari kinajieleza wazi. Aliyebadili siasa hawezi kuwa kapi, anakuwa lulu. Kwa kusoma kichwa tu ilikuwa rahisi kuelewa ujumbe uliokusudiwa. Maana yake nini sasa? Ina maana JF bado inakazi kubwa ya kufanya, wapo wengi wanaongozwa kwa hisia zaidi kuliko hali halisi. Inabidi thread nyingi zaidi zilenge kuwahimiza wasomaji na wasikilizaji kuwa makini katika kupokea ujumbe. Kazi bado mbichi watanzania.
 
It is indeed sad that Mwafrika's simple message is incomprehensible to some of our great thinkers!
 
Please please wakuu, mueleweni vizuri mwafrika. Could you people please read between the lines? nadhani huyu katumia fasihi. Nadhani ni ujumbe kwa wale wanaosema 'makapi ya ccm'. If at all Dr. Slaa was / is makapi then we need more of this kind of makapis.
What is going on guys? Is JF becoming a mediocrity?
 
Duh kaka, i think you where wrong.........kwa taharifa ya ko PHD ya Slaa ni ya miaka 7, JK nasikia ana GPA ya 2.0, na aligraduate kwa amri ya mkuu wa nchi ambaye ndiye alikuwa chancellor wa chuo enzi hizo ndiyo maana kuficha aibu akapelekwa uko wilaya akawe katibu kata wa CCM...
 
ccm kama kawaida yao wanachukua the best.

Slaa alishinda uchaguzi, wakuu wa vyama wakamtosa (wakafuata ushauri wa kiranga).

Kwa vile slaa alikuwa kapi, ccm walitaka ngano, wananchi wa karatu wakawaletea makapi, ccm wakayakataa.

Akiwa kama kapi, akaomba kujiunga na chadema.

Chadema kama kawaida ya kuchukua makapi (hata sijui kwa nini walimkataa mrema), wakamkubali.

Slaa akaingia chadema... Amekivunjilia mbali hicho chama.

Ushauri kwa chadema.

Msikilizeni kiranga (mtaalamu wetu wa siasa), achaneni na makapi ya ccm (kama dr slaa).

Haya makapi (kina slaa) hayana nia nzuri na chama chenu, yanataka kuvuruga upinzani.

Kwa heshima na taadhima kwa kuwa umeamua kufanya matusi hapa nakushauri uache matusi kwa kuwa si busara kuzungumza watu vibaya kwenye public. Hakuna utayemdanganya kuhusu Dr. Slaa labda wapuuzi wenzio
 
What is going on guys? Is JF becoming a mediocrity?

Ni upuuzi huo; kuna masuala ya msingi ya kujadili siyo watu. Kama ni kwa ajili ya forum ya uchaguzi, uchaguzi ulishapita. Nyinyi mnaojaribu kwenda nje ya fikra pevu zinazokusudiwa hapa mjichungue NI KWA MASLAHI YA NANI HAYO MNAYOTAKA TUCHANGIE HAPA?
 
Mkuu, baadhi ya watu wanakuwa na unazi kwa vyama, nahisi ndo maana wengine hata hawaangalii anachoandika mtu na kuki-evaluate badala yake kuanza kumwandama mtu badala ya hoja. Same applies kwa alichoandika Rev Kishoka, inahitaji ufikirie kwanza kabla ya kujibu!

Kama anaeandika haeleweki hajafanikiwa lengo lake la kutushirisha kuchangia. Halafu neno lo lote linaweza kupewa tafisri isiyo sahihi kwa sababu mwandishi ameshindwa kubainisha kusudio lake lazima litaamsha jazba. Between the lines, ushabiki wa vyama or whatever kumuita individual kwenye public kuwa ni kapi halafu unataka tutegue kusidio lake it is a flop. Kwa nini ujumbe unaokusudiwa kwenye forums kama ni discussion, au information usiwe wazi clear?

Kichwa cha habari na habari yenyewe is focused to tarnish a respected personality. It can not be stomached otherwise aombe darasa la jinsi kufikisha mada tutamsaidia. First lesson asizungumzie watu azungumzie issues. Kama ni kuwa the subject discussed ni lulu kwa nini asiseme hivyo? Hata hivyo anachotaka kusema is offensive by all standards.
 
Yeah, kutafakari tunachosoma wakati mwingine inakuwa tabu sana. Kama ulivyocomment hapo juu Invisible, ni kweli wengine wameshindwa kumwelewa Mwafrika.

Kwa staili aliyotumia sitaki hata kumwelewa
 
Inahitaji watu wa tafakuri kumwelewa Mwafrika. thredi hii inampamba Dr Slaa kuwa ni mtanzania aliyekataliwa na CCM mafisadi akaingia Chadema na kukiimarisha chama. Anatoa ujumbe kwa njia ya kuwatania CCM ambao wanadhihaki kila anayetoka CCM. Eti watawasindikiza wanaotoka CCM.

Dr Slaa waliyemkataa amekiimarisha Chadema na upinzani na sasa ni rais mtarajiwa. Mwafrika anatoa ujumbe kuwa jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Inabidi watu wajifunze kusoma na kuelewa kwa kusoma neno kwa neno na pia kwa ujumla wake.

CCM kama kawaida yao wanachukua the best.

Hiyo ndiyo imepreempt habari yote. Tunaumia sana wengine kwa hiyo statement kwa sababu shida zote tunazozipata zinatoka na hao anaowaita the best. Habari yote inashindwa kufikisha kusudio. Ni upuuzi habari inapohusu mtu anayeheshimiwa na wengi hata kama siyo na baadhi kuwa na maneno yanayokera. Please this style of presenting is not acceptable to some of us.
 
Wassira,Dan Makanga,Mtemvu,Thomas Nyimbo walikuwa upinzani kabla ya CCM.Nao ni makapi ya upinzani
 
Back
Top Bottom