Kapigwa spana Ulaya na Marekani leo kaja kuwadanganya watu eti lazima tutengeneze chetu

hatuna haja ya kuwa na wasiwasi tuko vizuri sanaa katika medani za kiuchumi hilo liko wazi ndugu
 
Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa ovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka.

Umekopa umekopa bila aibu. Umesafiri weeee. Leo unakuja kutuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko nchi za ulaya na Marekani. Kweli? Yaani Tanzania ifanye vizuri kwenye uchumi kuliko beberu aliyekukopesha toka uhuru mpaka Leo?

Uliwaonaje wananchi wa mkoa huo? Njia ya muongo ni fupi. Kiko wapi?

Uliingia kwa mbwembwe eti unafungua nchi na wajinga wakapiga makofi. Haya Leo upo kwenye blacklist. Kiko wapi? Na Bado hujasema.

Pia soma > Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi
Sasa wewe ulitaka ule hela za nani? Spana gani? Kawadanganye?

View: https://youtu.be/r02E0lcvrUg?feature=shared
 
Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa ovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka.

Umekopa umekopa bila aibu. Umesafiri weeee. Leo unakuja kutuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko nchi za ulaya na Marekani. Kweli? Yaani Tanzania ifanye vizuri kwenye uchumi kuliko beberu aliyekukopesha toka uhuru mpaka Leo?

Uliwaonaje wananchi wa mkoa huo? Njia ya muongo ni fupi. Kiko wapi?

Uliingia kwa mbwembwe eti unafungua nchi na wajinga wakapiga makofi. Haya Leo upo kwenye blacklist. Kiko wapi? Na Bado hujasema.

Pia soma > Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi
Ingefaa ueleze hiyo spana ndio unheeleweka vinginevyo ni muendelezo wa ujinga wako wa siku zote

View: https://www.instagram.com/p/DK_Y1upuF4y/?igsh=MWNmczh0cDVwZGUwcg==
 
Kwahiyo wale Wamarekani aliopiga nao picha na mwingine akaja hapa bongoland bado tu hawajamuelewa mpaka wafikie huko? Alikuwa anafungua nchi kwenye nini sasa kama waliofunguliwa wanafunga milango yao
 
Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa ovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka.

Umekopa umekopa bila aibu. Umesafiri weeee. Leo unakuja kutuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko nchi za ulaya na Marekani. Kweli? Yaani Tanzania ifanye vizuri kwenye uchumi kuliko beberu aliyekukopesha toka uhuru mpaka Leo?

Uliwaonaje wananchi wa mkoa huo? Njia ya muongo ni fupi. Kiko wapi?

Uliingia kwa mbwembwe eti unafungua nchi na wajinga wakapiga makofi. Haya Leo upo kwenye blacklist. Kiko wapi? Na Bado hujasema.

Pia soma > Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi
Until rectification ifanyike ndo mabeberu watatusikiliza
 
Kwakuwa uwezo wa ndani kupata pesa ya uchaguzi haupo,

Atarudi kuwapigia magoti na kukubali reforms kupata tume huru ya uchaguzi na CDM itashiriki uchaguzi.

Ule msemo wa maskini jeuri ni msemo usio na ukweli, upuuzwe.
Walichosema kutumia mapato ya ndani kwenye kutik uchaguzi na uwezo wao wa pesa ni mbali kama mbingu na ardhi? Ni kweli?
 
Kwakuwa uwezo wa ndani kupata pesa ya uchaguzi haupo,

Atarudi kuwapigia magoti na kukubali reforms kupata tume huru ya uchaguzi na CDM itashiriki uchaguzi.

Ule msemo wa maskini jeuri ni msemo usio na ukweli, upuuzwe.
Akiwa makamu wa magu ulifanyika uchaguzi bila sent ya mkoloni
 
Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa ovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka.

Umekopa umekopa bila aibu. Umesafiri weeee. Leo unakuja kutuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko nchi za ulaya na Marekani. Kweli? Yaani Tanzania ifanye vizuri kwenye uchumi kuliko beberu aliyekukopesha toka uhuru mpaka Leo?

Uliwaonaje wananchi wa mkoa huo? Njia ya muongo ni fupi. Kiko wapi?

Uliingia kwa mbwembwe eti unafungua nchi na wajinga wakapiga makofi. Haya Leo upo kwenye blacklist. Kiko wapi? Na Bado hujasema.

Pia soma > Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi
OKTOBA TUNA ✔️
 
Back
Top Bottom