Kapigwa spana Ulaya na Marekani leo kaja kuwadanganya watu eti lazima tutengeneze chetu

Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa ovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka.

Umekopa umekopa bila aibu. Umesafiri weeee. Leo unakuja kutuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko nchi za ulaya na Marekani. Kweli? Yaani Tanzania ifanye vizuri kwenye uchumi kuliko beberu aliyekukopesha toka uhuru mpaka Leo?

Uliwaonaje wananchi wa mkoa huo? Njia ya muongo ni fupi. Kiko wapi?

Uliingia kwa mbwembwe eti unafungua nchi na wajinga wakapiga makofi. Haya Leo upo kwenye blacklist. Kiko wapi? Na Bado hujasema.

Pia soma > Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi
Amekwama bigtime, na bado kuna kibano kinamsubiri kama akilazimisha kujipa urais wa Tanganyika November, hataamini macho na masikio yake.
 
Shida ni pale unapompa rubani wa mapenzi kazi ya urubani wa ndege
 
FB_IMG_1749728840762.jpg
 
Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa ovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka.

Umekopa umekopa bila aibu. Umesafiri weeee. Leo unakuja kutuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri kuliko nchi za ulaya na Marekani. Kweli? Yaani Tanzania ifanye vizuri kwenye uchumi kuliko beberu aliyekukopesha toka uhuru mpaka Leo?

Uliwaonaje wananchi wa mkoa huo? Njia ya muongo ni fupi. Kiko wapi?

Uliingia kwa mbwembwe eti unafungua nchi na wajinga wakapiga makofi. Haya Leo upo kwenye blacklist. Kiko wapi? Na Bado hujasema.

Pia soma > Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi
Npita
 
Tayari,wameshazuia? Mungu wangu!
 
Huyu si alimtimua Ndugai huyu.
Akamuombe msamaha Ndugai ndio arudi hapa
 
Back
Top Bottom