Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
Jf udaku baada ya uchunguzi wa kina imegundua kuwa hizi kapo:
sosoliso na Paloma.....kapo feki hii
Arushaone na Lady doctor.....hakuna cha ndoa wala nini,hata kwa sura hawajuani
marejesho na Filipo....hawa wanafanya kweli na mtoto wamezaa
Judgement na YNNAH.....hamna kitu hapa,wanaishia ku pm tu
mimisa na manoah.....kapo ya ukweli ingawa wana tofauti ndogo ndogo.. TheDealer utaishia kunawa tu
Madame B na kiplagati26.....chezeiya mjeda anajilia taratibu.. Ben Saanane, Chimbuvu, tedo na wana saccos wenzenu kina CHAI CHUNGU mlie tu
watu8 na measkron.....wametalikiana majuzi
Chocs na Erickb52......si chochote si lolote kazi kutumiana maPM yasoisha na miadi hewa
Asprin na cacico, Yummy na BADILI TABIA.....ni saccos ya ukweli
The secretary na bishanga.....true true couple...tuna na mtoto
.......risechi inaendelea,nitawa update

Last edited by a moderator: