kapo feki na za ukweli cc hizi hapa

kapo feki na za ukweli cc hizi hapa

wee Bishanga kelele nyiiiingi za kwenda kupima echaivii.........majibu mbona huleti?!?!?

Ours is the best couple ever! Ni mahabat ya dhati! Bishanga donge unatuonea unabaki kutupigia upatu! Kaa chini uumbe ya kwako kwa misingi imara! ingawa hakuna formula lakini labda saccos yako tutaiita ya kweli!

my dear Fixed Point muulize Mamndenyi akupiiem kuhusu kapo hizi!!!
yaani nyie wadogo zangu wabaya sana, haya mambo mbona hamniambii nabaki nauliza maswali yasiyo na msingi kwenye forum? au mnaogopa dada mkubwa atatema cheche?
dadangu Mamndenyi sijui ataniambia! maana wakubwa huwa tunawapelekea mastori, wao huwa hawana
 
Last edited by a moderator:
Paloma unataka na mie nipate feki mara hii tena? Bishanga lini tukachukue majibu yetu jamani?
wee Bishanga kelele nyiiiingi za kwenda kupima echaivii.........majibu mbona huleti?!?!?

Ours is the best couple ever! Ni mahabat ya dhati! Bishanga donge unatuonea unabaki kutupigia upatu! Kaa chini uumbe ya kwako kwa misingi imara! ingawa hakuna formula lakini labda saccos yako tutaiita ya kweli!

my dear Fixed Point muulize Mamndenyi akupiiem kuhusu kapo hizi!!!
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point mi akili haijatulia
namsubiri Bishanga tupoke results huku angaza lakini naona horaa.
yaani nyie wadogo zangu wabaya sana, haya mambo mbona hamniambii nabaki nauliza maswali yasiyo na msingi kwenye forum? au mnaogopa dada mkubwa atatema cheche?
dadangu Mamndenyi sijui ataniambia! maana wakubwa huwa tunawapelekea mastori, wao huwa hawana
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point mi akili haijatulia
namsubiri Bishanga tupoke results huku angaza lakini naona horaa.
ha haaa, dadangu shem mtarajiwa kaingia mitini? lol!
huyu ana mbwembwe nyingi tu hana lolote......
haya endelea kumsubiri, ila nina uhakika wewe ni negative..... ila huyo shem na wadada wote hawa, sijui!!!!!!!!!!!!!
 
kweli nimeamini mimi ni kilaza.....
inakuwaje kila anayenijibu ananipa jibu hilo hilo? ina maana mimi peke yangu ndo mgeni hapa Yerusalemu?
mdogo wangu snowhite nawe unayajua haya? kama unayajua basi karibia nakutoa kwenye list ya wadogo zangu.... huwezi kuniacha naendelea na ukilaza hivi hivi tu

Fixed Point mdogo wako snowhite anayajua sana,mtishie kumnyofoa kucha atakwambia kila kitu
 
Last edited by a moderator:
mimi kwanza naomna niulize.... na hili ni innocent question........
kwani kuna kapo za ukweli huku cc? mi najua zote zinaishia hapa hapa cc.....
sasa hata kama hawajuani sura zao inahuu? la maana wanakutana hapa cc na ndoa inaendelea......

mmmmhhhhhh!!!!!!
usiniambie zile I love you huwa za ukweli? sikuwahi kulitegemea hilo....
anyway, yote maisha

Kumbe ndio maana, zile juzi zangu za masikhara masikhara za kiCC ndio maana hawakujitokeza, watu wanataka kitu serious, lol i never i knew that!
 
Bishanga hana lolote mpenzi, wivu tu umemjaa kilasiku analala mlango wazi ili aone ndoa za watu zikivunjika, hapatagi mapenzi ya dhati huyo, zaidi ya kuchunwa tu kama mbuzi wa ndafu!!!!!

ama kweli kupenda kubaya
 
Last edited by a moderator:
wee Bishanga kelele nyiiiingi za kwenda kupima echaivii.........majibu mbona huleti?!?!?

Ours is the best couple ever! Ni mahabat ya dhati! Bishanga donge unatuonea unabaki kutupigia upatu! Kaa chini uumbe ya kwako kwa misingi imara! ingawa hakuna formula lakini labda saccos yako tutaiita ya kweli!

my dear Fixed Point muulize Mamndenyi akupiiem kuhusu kapo hizi!!!

Paloma ndo tuko kwenye foleni ya kuchukua majibu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom