kapo feki na za ukweli cc hizi hapa

kapo feki na za ukweli cc hizi hapa

kalaghabao!
kweli nimeamini mimi ni kilaza.....
inakuwaje kila anayenijibu ananipa jibu hilo hilo? ina maana mimi peke yangu ndo mgeni hapa Yerusalemu?
mdogo wangu snowhite nawe unayajua haya? kama unayajua basi karibia nakutoa kwenye list ya wadogo zangu.... huwezi kuniacha naendelea na ukilaza hivi hivi tu
 
Last edited by a moderator:
Endelea kujidanganya eti mimi na hubby wangu Arushaone hatujawahi kuonana.... Hivi pale kanisani wakati nafunga ndoa ulisimama wewe badala y Arushaone? Na hiki kizygot kilichopo tumboni kiliingia kwa uwezo wa roho mtakatifu?

We endelea kupika majungu wenzio tukiimarisha ndoa zetu!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Narrow mind discusses pipo, great mind discusses idea!

Bishanga peleka udaku wako hukohuko kwa mkeo, ndoa yetu na Lady doctor usiipaime mkuu.

Ila nimegundua kitu kimoja roho inakuuma sana unapoona watu wanapendana. Unajifananisha na Kaizer?

Bishanga hana lolote mpenzi, wivu tu umemjaa kilasiku analala mlango wazi ili aone ndoa za watu zikivunjika, hapatagi mapenzi ya dhati huyo, zaidi ya kuchunwa tu kama mbuzi wa ndafu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
mimi kwanza naomna niulize.... na hili ni innocent question........
kwani kuna kapo za ukweli huku cc? mi najua zote zinaishia hapa hapa cc.....
sasa hata kama hawajuani sura zao inahuu? la maana wanakutana hapa cc na ndoa inaendelea......
we uko kama mimi huwa najuaaga ni mastory tu ya hapa hapa..kumbe...
mmmmhhhhhh!!!!!!
usiniambie zile I love you huwa za ukweli? sikuwahi kulitegemea hilo....
anyway, yote maisha
mie nazidi kubaki nashangaa kumbe watu wako siriazi?
 
Acha kukaongelea katoto kangu ntamuambia muende dna ili ajue ohoooo

Endelea kujidanganya eti mimi na hubby wangu Arushaone hatujawahi kuonana.... Hivi pale kanisani wakati nafunga ndoa ulisimama wewe badala y Arushaone? Na hiki kizygot kilichopo tumboni kiliingia kwa uwezo wa roho mtakatifu?

We endelea kupika majungu wenzio tukiimarisha ndoa zetu!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
wee Bishanga kelele nyiiiingi za kwenda kupima echaivii.........majibu mbona huleti?!?!?

Ours is the best couple ever! Ni mahabat ya dhati! Bishanga donge unatuonea unabaki kutupigia upatu! Kaa chini uumbe ya kwako kwa misingi imara! ingawa hakuna formula lakini labda saccos yako tutaiita ya kweli!

my dear Fixed Point muulize Mamndenyi akupiiem kuhusu kapo hizi!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom