Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
mkuu hebu nifungue..PM inakaza gani kubwa humu ndani hasa cc?unafikiri pm kazi yake nini?
ha haaaa.... kazi ipoKumbe ndio maana, zile juzi zangu za masikhara masikhara za kiCC ndio maana hawakujitokeza, watu wanataka kitu serious, lol i never i knew that!
Bishanga mzee wng hebu ning'ate sikio...kijana wakooKipaji Halisi ongea na mzee akueleze mambo ya cc na mmu
kapo bora hapa ni ya Ruttashobolwa
na Passion Lady,nyingine matatizo tu!!
jamani, kwani huwezi kuninong'oneza bila mimi kuanza kukuPM? wewe ninong'oneze tu shem huko PM nitasikiaFixed Point niPM nikunong'oneze
anataka uwe SIRIAZIjamani, kwani huwezi kuninong'oneza bila mimi kuanza kukuPM? wewe ninong'oneze tu shem huko PM nitasikia
ha haaa, dadangu shem mtarajiwa kaingia mitini? lol!
huyu ana mbwembwe nyingi tu hana lolote......
haya endelea kumsubiri, ila nina uhakika wewe ni negative..... ila huyo shem na wadada wote hawa, sijui!!!!!!!!!!!!!
ha haaa, uSIRIAZI wengine hapa unafikiri tunauweza?anataka uwe SIRIAZI
ha haaa, haya ntakuombea shem wanguniombee,si unajua askari haogopi mshindo wa bunduki
oooh ok..pouwa...ha haaa, uSIRIAZI wengine hapa unafikiri tunauweza?
huyu ni shem wangu bana
ucje kumshawishi akaikoki..ikamlipukianiombee,si unajua askari haogopi mshindo wa bunduki
Heaven on earth
mwache tu The secretary anatusaidia kazi ya kumtunza mume wetu, dogo yuko safi hana noma kabisa.
siri imefichuka,
Siri imefichuka.....sos mlimani park ochestra... Lady doctor unalo!