Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi Paloma na sosoliso hawaja achana kweli?
nasikia ndoa ya Lady doctor na Arushaone hiko kwenye mtikisiko mkubwa nasikia chanzo ni uchaguzi mdogo.
ndo nimeambiwa hivyo my dear....Unaweza kuta zinavuka mpaka boda chezea CC FP
Chimbuvu jukumu lako ni kulinda mali yako kwa gharama zote hata kama ni kumwaga damu na imwagike na mimi niko lazi ninyofolewe kucha katika kuhakikisha huzulumiwi mtoto maana ni damu yako....aluta!
Cc: Lady doctor
ladydoctor
Azali na semi
Usimuharibie ndoa mutoto ya watu,kama unataka mbongo ili usiongee sema kiasi gani
hivi Paloma na sosoliso hawaja achana kweli?
nasikia ndoa ya Lady doctor na Arushaone hiko kwenye mtikisiko mkubwa nasikia chanzo ni uchaguzi mdogo.
mmmmmhhhhhh
Jf udaku baada ya uchunguzi wa kina imegundua kuwa hizi kapo:
sosoliso na Paloma.....kapo feki hii
Arushaone na Lady doctor.....hakuna cha ndoa wala nini,hata kwa sura hawajuani
marejesho na Filipo....hawa wanafanya kweli na mtoto wamezaa
Judgement na YNNAH.....hamna kitu hapa,wanaishia ku pm tu
mimisa na manoah.....kapo ya ukweli ingawa wana tofauti ndogo ndogo.. TheDealer utaishia kunawa tu
Madame B na kiplagati26.....chezeiya mjeda anajilia taratibu.. Ben Saanane, Chimbuvu, tedo na wana saccos wenzenu kina CHAI CHUNGU mlie tu
watu8 na measkron.....wametalikiana majuzi
Chocs na Erickb52......si chochote si lolote kazi kutumiana maPM yasoisha na miadi hewa
Asprin na cacico, Yummy na BADILI TABIA.....ni saccos ya ukweli
The secretary na bishanga.....true true couple...tuna na mtoto
.......risechi inaendelea,nitawa update
Nikisema mimi ndio kasema yeye...endi vaisi vesa
hivi Paloma na sosoliso hawaja achana kweli?
nasikia ndoa ya Lady doctor na Arushaone hiko kwenye mtikisiko mkubwa nasikia chanzo ni uchaguzi mdogo.
Mkuu Bishanga a.k.a bepariiiiii..... Umesahau kapo ya ukwenhe isio na mwisho kama bahari... Kapo ya C6 na charminglady..... Hahaaaa....
Jeuri hamna mtabaki kuguna