kapo feki na za ukweli cc hizi hapa

kapo feki na za ukweli cc hizi hapa

Bishanga sasa ivi naona kama sio taifa queen ni twiga staz
au nadhani kutokana na anavyoendelea sioni shaka kumwita king Mswati wa CC
au unamuiga Madame B kuanzisha saccos?
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu jukumu lako ni kulinda mali yako kwa gharama zote hata kama ni kumwaga damu na imwagike na mimi niko lazi ninyofolewe kucha katika kuhakikisha huzulumiwi mtoto maana ni damu yako....aluta!
Cc: Lady doctor

hivi Bishanga, Arushaone kakufanya nini, mbona unaniletea visa hiviii? Nimeshasema hiki kizygot ni cha mume wangu Arushaone peke yake.
 
Last edited by a moderator:
Ebu tupishe siye...!! couple ni yako ukiwa kwako na mkeo, mbona mi nimenyamaza na njiwa wako yule wa juzi nimtaje nisimtaje?!!
Mengine hayakuhusu
 
Jf udaku baada ya uchunguzi wa kina imegundua kuwa hizi kapo:
sosoliso na Paloma.....kapo feki hii
Arushaone na Lady doctor.....hakuna cha ndoa wala nini,hata kwa sura hawajuani
marejesho na Filipo....hawa wanafanya kweli na mtoto wamezaa
Judgement na YNNAH.....hamna kitu hapa,wanaishia ku pm tu
mimisa na manoah.....kapo ya ukweli ingawa wana tofauti ndogo ndogo.. TheDealer utaishia kunawa tu
Madame B na kiplagati26.....chezeiya mjeda anajilia taratibu.. Ben Saanane, Chimbuvu, tedo na wana saccos wenzenu kina CHAI CHUNGU mlie tu
watu8 na measkron.....wametalikiana majuzi
Chocs na Erickb52......si chochote si lolote kazi kutumiana maPM yasoisha na miadi hewa
Asprin na cacico, Yummy na BADILI TABIA.....ni saccos ya ukweli
The secretary na bishanga.....true true couple...tuna na mtoto
.......risechi inaendelea,nitawa update

Mkuu Bishanga a.k.a bepariiiiii..... Umesahau kapo ya ukwenhe isio na mwisho kama bahari... Kapo ya C6 na charminglady..... Hahaaaa....

Jeuri hamna mtabaki kuguna
 
Last edited by a moderator:
Duuuh! Kumbe watu wapo serious humu...smfh!
 
Back
Top Bottom