Wachezaji wanachoka mtu anacheza yeye tu bila mapumziko harafu uje ukutane na watu kama hivi leo kila pass ina madhara..Mkuu hii sio mechi ya kwanza kwa kapombe kuonesha kiwango kibovu amekuwa na kiwango kibovu hata kwenye mechi za kawaida.
Lakini kapombe angekuwa kwenye nafasi yake angeweza kubrock ile mipira iliyo sababisha magoli kwa sababu zote zimepita kwenye nafasi zake na kukuta ziko tupu, kiufupi kapombe anajipa majuku ya wengine ana sahau ya kwake.Watu wanafunga magoli wakiwa katikati ya mabeki pendwa kesi wanapewa wakina Kapombe...ingawaje mpira ulitoka shavu la kulia ila ulikua unaweza kuokolewa sio kupita kirahisi vile kwa goli la pili...
Ni muda sahihi wa mwenda kuaminiwa.Kapombe umri ume mwacha na kwasasa soka la ushindani linachezwa na vijana wadogo.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
huyo Percy Tao kafunga magoli mangapi??JF imejaa MACHOKO sana siku hiziKapombe mnamuonea
Levels za washambuliaji wa Al Ahly za juu sana kuliko uwezo wa kapombe
Leo wangekuwa makini mechi ingeisha mapema sana.
Kapombe mnamuangushia jumba bovu bure.
Shabalala nae anapewa lawama. Hivi kweli shabalala yupo level ya kumzuia Percy Tau asifurukute
Mbona hajafurukuta??Kapombe mnamuonea
Levels za washambuliaji wa Al Ahly za juu sana kuliko uwezo wa kapombe
Leo wangekuwa makini mechi ingeisha mapema sana.
Kapombe mnamuangushia jumba bovu bure.
Shabalala nae anapewa lawama. Hivi kweli shabalala yupo level ya kumzuia Percy Tau asifurukute
Daah..huyo Percy Tao kafunga magoli mangapi??JF imejaa MACHOKO sana siku hizi
huyo Percy Tao kafunga magoli mangapi??JF imejaa MACHOKO sana siku hizi
Daah..
Mbona hajafurukuta??
Kocha wa taifa stars alivyowaacha yeye na zimbwe jr mlimuona mpumbavuSijui ni mm tu ninaye liona tatizo hili lililopo simba,kiufupi Kapombe amekuwa tatizo kwenye safu ya ulinzi ya simba.
Sijui ni kiwango kushuka au kuna mambo hayamuendei sawa kwenye familia yake, katika siku za hivi karibuni amekuwa na pafomans mbovu kabisa.
Hata mechi ya leo magoli yote yaliyo fungwa leo ni matokeo yake kutotimiza majukumu yake kwa wakati sahihi kwenye nafasi yake, na pia Inonga kamfichia makosa yake mengi leo.
This is nonsense! Labda kama huangalii mpira. Kapombe hayupo kwenye fomu yake.Kapombe mnamuonea