ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Sijui ni mimi tu ninaye liona tatizo hili lililopo Simba, kiufupi Kapombe amekuwa tatizo kwenye safu ya ulinzi ya Simba.
Sijui ni kiwango kushuka au kuna mambo hayamuendei sawa kwenye familia yake, katika siku za hivi karibuni amekuwa na pafomans mbovu kabisa.
Hata mechi ya leo magoli yote yaliyo fungwa leo ni matokeo yake kutotimiza majukumu yake kwa wakati sahihi kwenye nafasi yake, na pia Inonga kamfichia makosa yake mengi leo.