Kapombe kawa uchochoro

Kapombe kawa uchochoro

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Sijui ni mimi tu ninaye liona tatizo hili lililopo Simba, kiufupi Kapombe amekuwa tatizo kwenye safu ya ulinzi ya Simba.

Sijui ni kiwango kushuka au kuna mambo hayamuendei sawa kwenye familia yake, katika siku za hivi karibuni amekuwa na pafomans mbovu kabisa.

Hata mechi ya leo magoli yote yaliyo fungwa leo ni matokeo yake kutotimiza majukumu yake kwa wakati sahihi kwenye nafasi yake, na pia Inonga kamfichia makosa yake mengi leo.
 
Kapombe mnamuonea

Levels za washambuliaji wa Al Ahly za juu sana kuliko uwezo wa kapombe

Leo wangekuwa makini mechi ingeisha mapema sana.

Kapombe mnamuangushia jumba bovu bure.

Shabalala nae anapewa lawama. Hivi kweli shabalala yupo level ya kumzuia Percy Tau asifurukute
 
Watu wanafunga magoli wakiwa katikati ya mabeki pendwa kesi wanapewa wakina Kapombe...ingawaje mpira ulitoka shavu la kulia ila ulikua unaweza kuokolewa sio kupita kirahisi vile kwa goli la pili...
Lakini kapombe angekuwa kwenye nafasi yake angeweza kubrock ile mipira iliyo sababisha magoli kwa sababu zote zimepita kwenye nafasi zake na kukuta ziko tupu, kiufupi kapombe anajipa majuku ya wengine ana sahau ya kwake.
 
Kapombe mnamuonea

Levels za washambuliaji wa Al Ahly za juu sana kuliko uwezo wa kapombe

Leo wangekuwa makini mechi ingeisha mapema sana.

Kapombe mnamuangushia jumba bovu bure.

Shabalala nae anapewa lawama. Hivi kweli shabalala yupo level ya kumzuia Percy Tau asifurukute
huyo Percy Tao kafunga magoli mangapi??JF imejaa MACHOKO sana siku hizi
 
Mbona hajafurukuta??
 
huyo Percy Tao kafunga magoli mangapi??JF imejaa MACHOKO sana siku hizi

Usishangae ndugu. Zoea tu.

Stress za maisha , ukosefu wa ajira na umaskini zinafanya watu watukane tukane tu.

Wekend hii angekuwa yupo vizuri kisaikolojia angejibu hoja kwa hoja nzito.. maana hoja haijibiwi kwa matusi.
 
Sijui ni mm tu ninaye liona tatizo hili lililopo simba,kiufupi Kapombe amekuwa tatizo kwenye safu ya ulinzi ya simba.

Sijui ni kiwango kushuka au kuna mambo hayamuendei sawa kwenye familia yake, katika siku za hivi karibuni amekuwa na pafomans mbovu kabisa.

Hata mechi ya leo magoli yote yaliyo fungwa leo ni matokeo yake kutotimiza majukumu yake kwa wakati sahihi kwenye nafasi yake, na pia Inonga kamfichia makosa yake mengi leo.
Kocha wa taifa stars alivyowaacha yeye na zimbwe jr mlimuona mpumbavu

Ifikie kipindi muheshimu taaluma za watu kocha aliona mapungufu yao ndio maana hakuwaita

Na leo makosa yamejidhihirisha

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kapombe mnamuonea

Levels za washambuliaji wa Al Ahly za juu sana kuliko uwezo wa kapombe

Leo wangekuwa makini mechi ingeisha mapema sana.

Kapombe mnamuangushia jumba bovu bure.

Shabalala nae anapewa lawama. Hivi kweli shabalala yupo level ya kumzuia Percy Tau asifurukute
This is nonsense! Labda kama huangalii mpira. Kapombe hayupo kwenye fomu yake.
 
Inonga ni mzuri sana asipocheza kwa sifa na mashabiki ana visifa vinavyompunguzia credibility

Hongera mtani umepambana
 
Back
Top Bottom