Kapombe kawa uchochoro

Mi naona kapombe na tshabalala waanze kuwekewa sub zao wawe wanapumzika from time to time
 
Hajafurukuta kivipi wakati katengeneza nafasi nyingi

Ama hatujui maana ya Kufurukuta ?

Ama hatujui Percy tau anacheza nafasi gani uwanjani na majukumu yake ni kufanya nini uwanjani ?
Kuna watu humu walikua wanasema atatukanda bao za kutosha...ndo nauliza mbona sijayaona?
 
Kwa Jana alipwaya
 
Sio kwamba kwasababu ni timu waliocheza nayo ina kasi na mbinu tofauti
 
Labda tatizo ni Fatigue
Hata Mimi nahisi Hilo .....sidhani kama kiwango kwamba ndo ameisha hapana .....

Japo yote Kwa yote binafsi,naona ni madhaifu tu ya timu nzima hasa kipindi tunapopoteza mpira sababu namna wanavyocheza ndivyo full beki za kisasa zinavyopaswa kucheza .........
timu kama timu watu ni wazito kurudi kwa haraka na kucover zile nafasi ambazo muda Hawa wakipanda ........wachezaji wazito sana ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…