Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Mi naona kapombe na tshabalala waanze kuwekewa sub zao wawe wanapumzika from time to time
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utakua shabiki mwenzangu wa mnyama weweMadini kama haya WENZENU wanalipia
Kuna watu humu walikua wanasema atatukanda bao za kutosha...ndo nauliza mbona sijayaona?Hajafurukuta kivipi wakati katengeneza nafasi nyingi
Ama hatujui maana ya Kufurukuta ?
Ama hatujui Percy tau anacheza nafasi gani uwanjani na majukumu yake ni kufanya nini uwanjani ?
Kwa Jana alipwayaSijui ni mimi tu ninaye liona tatizo hili lililopo Simba, kiufupi Kapombe amekuwa tatizo kwenye safu ya ulinzi ya Simba.
Sijui ni kiwango kushuka au kuna mambo hayamuendei sawa kwenye familia yake, katika siku za hivi karibuni amekuwa na pafomans mbovu kabisa.
Hata mechi ya leo magoli yote yaliyo fungwa leo ni matokeo yake kutotimiza majukumu yake kwa wakati sahihi kwenye nafasi yake, na pia Inonga kamfichia makosa yake mengi leo.
Labda tatizo ni FatigueTshabalala ndo kabisaa na sio mechi ya kwanza hii
Hata Mimi nahisi Hilo .....sidhani kama kiwango kwamba ndo ameisha hapana .....Labda tatizo ni Fatigue