Kapombe kawa uchochoro

Kapombe kawa uchochoro

huyo Percy Tao kafunga magoli mangapi??JF imejaa MACHOKO sana siku hizi

Mtu ambaye sio mshambuliaji huwezi kumpima kwa kusema mbona hajafunga magoli ? Kufunga magoli ni kazi ya striker

Percy Tau kazi yake sio kufunga magoli

Percy tau ni winga wa kulia.. kiingereza wanaita right winger.. kazi yake ni kuwalisha washambuliaji kutokea upande wa kulia.. na kazi hiyo leo ameifanya vizuri.. katengeneza nafasi nyingi
 
Kocha wa taifa stars alivyowaacha yeye na zimbwe jr mlimuona mpumbavu

Ifikie kipindi muheshimu taaluma za watu kocha aliona mapungufu yao ndio maana hakuwaita

Na leo makosa yamejidhihirisha

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kwa upande wa kapombe alikuwa sawa kabisa yaani jamaa amekuwa ni uchochoro kabisa.
 
Sijui ni mm tu ninaye liona tatizo hili lililopo simba,kiufupi Kapombe amekuwa tatizo kwenye safu ya ulinzi ya simba.

Sijui ni kiwango kushuka au kuna mambo hayamuendei sawa kwenye familia yake, katika siku za hivi karibuni amekuwa na pafomans mbovu kabisa.

Hata mechi ya leo magoli yote yaliyo fungwa leo ni matokeo yake kutotimiza majukumu yake kwa wakati sahihi kwenye nafasi yake, na pia Inonga kamfichia makosa yake mengi leo.
Sitaki kumsikia huyo mbwa nina hasira nae chizi kweli huyo
 
Mkuu wenda jamaa atakuwa na tatizo sio bure yaani hata kukaba anakaba utadhani miguuni ana funza hata kurosi zake ni za hovyo anapiga ili mradi tu liende.

Ila tatizo sio yeye tatizo lipo kwa kocha kuendelea kumuamini hali ya kuwa anamuona kabisa kuwa hayuko sawa ni wakati mwenda ahanze kuaminiwa.
 
Ila leo tatizo lilianzia kwa Miqson hakua anamsaidia Kapombe,,,kiufupi hakua na faid yoyote akiwa na akiupoteza mpira.
Mbona hata miqson alipo toka mambo yalikuwa yale yale mkuu achana na kujusahau kurudi nyuma baada ya kupanda, lakini pia hata uwezo wake wa kukaba uso kwa uso umepungua sana sasa hivi anapitika kirahisi sana.

Alafu kapombe anapenda kujipa majukumu yasiyo yake alafu anasahau ya kwake ,kiufupi apumzike tu.
 
Baleke ile mizozo yake imesababisha jamaa wajipange na kutufunga,unazozana na refa ambaye ni mwamuzi wa mwisho ili iweje upewe red card na timu uigharimu?kwa kweli kanikera kabla hata hawajapiga ile faulo.
 
Sijui ni mm tu ninaye liona tatizo hili lililopo simba, kiufupi Kapombe amekuwa tatizo kwenye safu ya ulinzi ya simba.

Sijui ni kiwango kushuka au kuna mambo hayamuendei sawa kwenye familia yake, katika siku za hivi karibuni amekuwa na pafomans mbovu kabisa.

Hata mechi ya leo magoli yote yaliyo fungwa leo ni matokeo yake kutotimiza majukumu yake kwa wakati sahihi kwenye nafasi yake, na pia Inonga kamfichia makosa yake mengi leo.
Hili jina nimelisikia kwa muda mrefu sana,(kwa miaka kadhaa) likicheza mipira
 
Kapombe mnamuonea

Levels za washambuliaji wa Al Ahly za juu sana kuliko uwezo wa kapombe

Leo wangekuwa makini mechi ingeisha mapema sana.

Kapombe mnamuangushia jumba bovu bure.

Shabalala nae anapewa lawama. Hivi kweli shabalala yupo level ya kumzuia Percy Tau asifurukute

Yap na percy tau amedhibitiwa leo hakuwa free kabisa. Percy tau angekuwa anapita kwa kapombe leo tungeongea mengine

Kapombe ame underperform mbaya
 
Bora muwe mnaulizia tunawasaidia mtakufa na UPUMBAVU WENU.

1. Level ya Wachezaji wa Alhaly IPO juu sana kulinganisha na Simba.
Uimara WA Alhaly ni Maeneo ya Pembeni, ndio wako Bora zaidi.

2. Eneo analocheza beki wa kulia mtu wa kwanza kutoa msaada Huwa anakuwa No 7 ambaye mara Nyingi anakuwa KIBU. Jana KIBU alichezeahwa No 9 na
(Jana no 7 Alikuwa Miquisson aliyeisha na kuchoka vibaya kabisa.

3. Msaada Mwingine WA Kumsaidia No 2 ni Beki No 5 ambaye ni Inonga ambaye Majeraha Yameshusha sana Uwezo wake.
Amepata Majeraha mara tatu ndani ya KIPINDI Cha Muda Mfupi

4. Yote ya yote Simba wanaathirika sana kutokana na kukosa kiungo WA Asili kabisa WA UKABAJI.
Hili nimelisema zaidi ya mala 1000 sasa.

Karibu kwa swali lingine

MUWE MNAJIFUNZA MPIRA AU MNATAG KUULIZA
 
Mbona hata miqson alipo toka mambo yalikuwa yale yale mkuu achana na kujusahau kurudi nyuma baada ya kupanda, lakini pia hata uwezo wake wa kukaba uso kwa uso umepungua sana sasa hivi anapitika kirahisi sana.

Alafu kapombe anapenda kujipa majukumu yasiyo yake alafu anasahau ya kwake ,kiufupi apumzike tu.
Mkuu alikua tayari ameshachoka kumbuka dk 45 zote alikimbizwa,

NB:Nakubali kapombe uwezo umeshuka ila leo Miqson alichangia zaidi kumpa tabu kwa sababu hakumsaidia akiwa ametoka eneo lake hivyo akawa anakaba eneo kubwa zaidi.
 
Bora muwe mnaulizia tunawasaidia mtakufa na UPUMBAVU WENU.

1. Level ya Wachezaji wa Alhaly IPO juu sana kulinganisha na Simba.
Uimara WA Alhaly ni Maeneo ya Pembeni, ndio wako Bora zaidi.

2. Eneo analocheza beki wa kulia mtu wa kwanza kutoa msaada Huwa anakuwa No 7 ambaye mara Nyingi anakuwa KIBU. Jana KIBU alichezeahwa No 9 na
(Jana no 7 Alikuwa Miquisson aliyeisha na kuchoka vibaya kabisa.

3. Msaada Mwingine WA Kumsaidia No 2 ni Beki No 5 ambaye ni Inonga ambaye Majeraha Yameshusha sana Uwezo wake.
Amepata Majeraha mara tatu ndani ya KIPINDI Cha Muda Mfupi

4. Yote ya yote Simba wanaathirika sana kutokana na kukosa kiungo WA Asili kabisa WA UKABAJI.
Hili nimelisema zaidi ya mala 1000 sasa.

Karibu kwa swali lingine

MUWE MNAJIFUNZA MPIRA AU MNATAG KUULIZA
Nakubali Ngoma anafaa zaidi akicheza 8 ,kukosekana kwa namba 6 ya ukweli imepelekea mabeki kua uchi.
 
Waambie ndugu zako mbumbumbu fc Ngoma sio kiungo wa ulinzi, jana sikumbuki kama alifanya kitendo chochote cha kusaidia timu kama kiungo wa ulinzi.
Alionekana mara chache akiwa eneo analo stahili kua kiungo wa ushambuliji na ilionyesha ni offensive minded player kuliko no 6 anayo pangwa.
Kiingo cha Chini kilikua pua kabisa yaani pua kuliko pua ya Wenger.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Beki za Pembeni za simba zinapanda sn km hujui mfumo wa 3-5-2 diamond hapa ndio inakua shida wale namba 8,6 kazi yao kubwa ni kubalance team mabeki wanapopanda ndio maana ulimuona mzamiru alitolewa kwakua alichoka mapema nakushindwa saidia upande wa kapombe,especially wkt wa transition means wapinzani wakipoka mpira hapa ndio 8,6 zinakuja balance game ya power dynamo game ya kwanza makosa yalifanyika km ya jana taifa yule dogo aliefunga goli la kwanza no7 wao
 
Baleke ile mizozo yake imesababisha jamaa wajipange na kutufunga,unazozana na refa ambaye ni mwamuzi wa mwisho ili iweje upewe red card na timu uigharimu?kwa kweli kanikera kabla hata hawajapiga ile faulo.
Tatizo sio Baleke, tatizo inawezaje kumpa unahodha mtu Kama Shabalala. Shabalala Kama nahodha anatakiwa kudhibiti wachezaji wake , Simba inahitaji kiongozi ndani ya uwanja.
 
Bora muwe mnaulizia tunawasaidia mtakufa na UPUMBAVU WENU.

1. Level ya Wachezaji wa Alhaly IPO juu sana kulinganisha na Simba.
Uimara WA Alhaly ni Maeneo ya Pembeni, ndio wako Bora zaidi.

2. Eneo analocheza beki wa kulia mtu wa kwanza kutoa msaada Huwa anakuwa No 7 ambaye mara Nyingi anakuwa KIBU. Jana KIBU alichezeahwa No 9 na
(Jana no 7 Alikuwa Miquisson aliyeisha na kuchoka vibaya kabisa.

3. Msaada Mwingine WA Kumsaidia No 2 ni Beki No 5 ambaye ni Inonga ambaye Majeraha Yameshusha sana Uwezo wake.
Amepata Majeraha mara tatu ndani ya KIPINDI Cha Muda Mfupi

4. Yote ya yote Simba wanaathirika sana kutokana na kukosa kiungo WA Asili kabisa WA UKABAJI.
Hili nimelisema zaidi ya mala 1000 sasa.

Karibu kwa swali lingine

MUWE MNAJIFUNZA MPIRA AU MNATAG KUULIZA

Madini kama haya WENZENU wanalipia
 
Baleke ile mizozo yake imesababisha jamaa wajipange na kutufunga,unazozana na refa ambaye ni mwamuzi wa mwisho ili iweje upewe red card na timu uigharimu?kwa kweli kanikera kabla hata hawajapiga ile faulo.
Baleke naye ana utoto mwingi sana.
 
Back
Top Bottom