Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Kila mechi ni hao tangia uhuru mpaka leo,wanachoka na umri umesogea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CKapombe umri ume mwacha na kwasasa soka la ushindani linachezwa na vijana wadogo.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
huyo Percy Tao kafunga magoli mangapi??JF imejaa MACHOKO sana siku hizi
Kwa upande wa kapombe alikuwa sawa kabisa yaani jamaa amekuwa ni uchochoro kabisa.Kocha wa taifa stars alivyowaacha yeye na zimbwe jr mlimuona mpumbavu
Ifikie kipindi muheshimu taaluma za watu kocha aliona mapungufu yao ndio maana hakuwaita
Na leo makosa yamejidhihirisha
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Sitaki kumsikia huyo mbwa nina hasira nae chizi kweli huyoSijui ni mm tu ninaye liona tatizo hili lililopo simba,kiufupi Kapombe amekuwa tatizo kwenye safu ya ulinzi ya simba.
Sijui ni kiwango kushuka au kuna mambo hayamuendei sawa kwenye familia yake, katika siku za hivi karibuni amekuwa na pafomans mbovu kabisa.
Hata mechi ya leo magoli yote yaliyo fungwa leo ni matokeo yake kutotimiza majukumu yake kwa wakati sahihi kwenye nafasi yake, na pia Inonga kamfichia makosa yake mengi leo.
Mkuu wenda jamaa atakuwa na tatizo sio bure yaani hata kukaba anakaba utadhani miguuni ana funza hata kurosi zake ni za hovyo anapiga ili mradi tu liende.Sitaki kumsikia huyo mbwa nina hasira nae chizi kweli huyo
Ila leo tatizo lilianzia kwa Miqson hakua anamsaidia Kapombe,,,kiufupi hakua na faid yoyote akiwa na akiupoteza mpira.Mkuu hii sio mechi ya kwanza kwa kapombe kuonesha kiwango kibovu amekuwa na kiwango kibovu hata kwenye mechi za kawaida.
Mbona hata miqson alipo toka mambo yalikuwa yale yale mkuu achana na kujusahau kurudi nyuma baada ya kupanda, lakini pia hata uwezo wake wa kukaba uso kwa uso umepungua sana sasa hivi anapitika kirahisi sana.Ila leo tatizo lilianzia kwa Miqson hakua anamsaidia Kapombe,,,kiufupi hakua na faid yoyote akiwa na akiupoteza mpira.
Hili jina nimelisikia kwa muda mrefu sana,(kwa miaka kadhaa) likicheza mipiraSijui ni mm tu ninaye liona tatizo hili lililopo simba, kiufupi Kapombe amekuwa tatizo kwenye safu ya ulinzi ya simba.
Sijui ni kiwango kushuka au kuna mambo hayamuendei sawa kwenye familia yake, katika siku za hivi karibuni amekuwa na pafomans mbovu kabisa.
Hata mechi ya leo magoli yote yaliyo fungwa leo ni matokeo yake kutotimiza majukumu yake kwa wakati sahihi kwenye nafasi yake, na pia Inonga kamfichia makosa yake mengi leo.
Kapombe mnamuonea
Levels za washambuliaji wa Al Ahly za juu sana kuliko uwezo wa kapombe
Leo wangekuwa makini mechi ingeisha mapema sana.
Kapombe mnamuangushia jumba bovu bure.
Shabalala nae anapewa lawama. Hivi kweli shabalala yupo level ya kumzuia Percy Tau asifurukute
Mkuu alikua tayari ameshachoka kumbuka dk 45 zote alikimbizwa,Mbona hata miqson alipo toka mambo yalikuwa yale yale mkuu achana na kujusahau kurudi nyuma baada ya kupanda, lakini pia hata uwezo wake wa kukaba uso kwa uso umepungua sana sasa hivi anapitika kirahisi sana.
Alafu kapombe anapenda kujipa majukumu yasiyo yake alafu anasahau ya kwake ,kiufupi apumzike tu.
Nakubali Ngoma anafaa zaidi akicheza 8 ,kukosekana kwa namba 6 ya ukweli imepelekea mabeki kua uchi.Bora muwe mnaulizia tunawasaidia mtakufa na UPUMBAVU WENU.
1. Level ya Wachezaji wa Alhaly IPO juu sana kulinganisha na Simba.
Uimara WA Alhaly ni Maeneo ya Pembeni, ndio wako Bora zaidi.
2. Eneo analocheza beki wa kulia mtu wa kwanza kutoa msaada Huwa anakuwa No 7 ambaye mara Nyingi anakuwa KIBU. Jana KIBU alichezeahwa No 9 na
(Jana no 7 Alikuwa Miquisson aliyeisha na kuchoka vibaya kabisa.
3. Msaada Mwingine WA Kumsaidia No 2 ni Beki No 5 ambaye ni Inonga ambaye Majeraha Yameshusha sana Uwezo wake.
Amepata Majeraha mara tatu ndani ya KIPINDI Cha Muda Mfupi
4. Yote ya yote Simba wanaathirika sana kutokana na kukosa kiungo WA Asili kabisa WA UKABAJI.
Hili nimelisema zaidi ya mala 1000 sasa.
Karibu kwa swali lingine
MUWE MNAJIFUNZA MPIRA AU MNATAG KUULIZA
Tatizo sio Baleke, tatizo inawezaje kumpa unahodha mtu Kama Shabalala. Shabalala Kama nahodha anatakiwa kudhibiti wachezaji wake , Simba inahitaji kiongozi ndani ya uwanja.Baleke ile mizozo yake imesababisha jamaa wajipange na kutufunga,unazozana na refa ambaye ni mwamuzi wa mwisho ili iweje upewe red card na timu uigharimu?kwa kweli kanikera kabla hata hawajapiga ile faulo.
Bora muwe mnaulizia tunawasaidia mtakufa na UPUMBAVU WENU.
1. Level ya Wachezaji wa Alhaly IPO juu sana kulinganisha na Simba.
Uimara WA Alhaly ni Maeneo ya Pembeni, ndio wako Bora zaidi.
2. Eneo analocheza beki wa kulia mtu wa kwanza kutoa msaada Huwa anakuwa No 7 ambaye mara Nyingi anakuwa KIBU. Jana KIBU alichezeahwa No 9 na
(Jana no 7 Alikuwa Miquisson aliyeisha na kuchoka vibaya kabisa.
3. Msaada Mwingine WA Kumsaidia No 2 ni Beki No 5 ambaye ni Inonga ambaye Majeraha Yameshusha sana Uwezo wake.
Amepata Majeraha mara tatu ndani ya KIPINDI Cha Muda Mfupi
4. Yote ya yote Simba wanaathirika sana kutokana na kukosa kiungo WA Asili kabisa WA UKABAJI.
Hili nimelisema zaidi ya mala 1000 sasa.
Karibu kwa swali lingine
MUWE MNAJIFUNZA MPIRA AU MNATAG KUULIZA
Baleke naye ana utoto mwingi sana.Baleke ile mizozo yake imesababisha jamaa wajipange na kutufunga,unazozana na refa ambaye ni mwamuzi wa mwisho ili iweje upewe red card na timu uigharimu?kwa kweli kanikera kabla hata hawajapiga ile faulo.