zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
march 8 ulipigwa na nini ama unasahau mkuuSio mmezingua sema hamna timu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
march 8 ulipigwa na nini ama unasahau mkuuSio mmezingua sema hamna timu
We kweli utopolo. Hivi unaamini hiyo timu inaweza kuchukua ubingwa msimu ujao?march 8 ulipigwa na nini ama unasahau mkuu
Na hilo goli ndilo lililowaponza. Unaweza kushinda mechi lkn angalia umeshindashindaje. Goli lakubahatisha ila mpk leo mnalipigia kelele. Yanga hamna uwezo kwa Sasa kumfunga mnyama km sio goli la faulo. Msipojipanga vzuri msimu ujao mnaweza bakiwa na ule msemo wa Simba anabebwa. Nawataadharisha tumarch 8 ulipigwa na nini ama unasahau mkuu
Kwel tumeona simba 4 utopolooo 1[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga ni timu hatari mbwembwe za kikosi kipana zimeisha imekuwa ya kuona madhaifu tupu hahahaahahaha
kuweni na amani tunawapiga 2-0 tu sio nyingi
Sio kujua mm ni mpinzani wako ilikuwa dua yangu kapombe asiwepo ingekuwa faida kwetu km nyie tu mlivyofaidika kutokuwa fiti kwa Papy,Niyo na Balama hizo zilikuwa propaganda kutoana mchezoni sikuwa najua chochote sababu si mtu wa ndani wa simba nijue kila kinachoendelea!Watu kujifanya wajuaji kumbe wapuuzii tu,unajifanya unajia kila kitu kuliko kocha
[emoji23][emoji23][emoji23] nafikiri mada huu upo inawaza hivi ni wewe uliyasema hayakama kocha atafata ushauri wako mnapigwa nyingi za faulo na kuna penati pale kenedy hakuna beki pale mbele ya mabingwa wa kihistoria
Ni kweli kiwango chake si cha kuchezea SimbaAisee kiwango chake ni cha kawaida mno, ni wa timu ndogo.
Kweli kafaaaSimba leo anakufaaaaa...
Nadhani ilikuwa kinyume. Timu iliyowacheesha wasiokuwa fit kwa ajili ya hofu, inajulikanahofu itawaua hahahaa kikosi kipana ki wapi mnatamani hadi majeruhi wacheze
yanga anawapa homa hadi kikosi kipana kinaonekana hakitoshi