Kapombe kucheza leo 12/7/2020?

Kapombe kucheza leo 12/7/2020?

march 8 ulipigwa na nini ama unasahau mkuu
Na hilo goli ndilo lililowaponza. Unaweza kushinda mechi lkn angalia umeshindashindaje. Goli lakubahatisha ila mpk leo mnalipigia kelele. Yanga hamna uwezo kwa Sasa kumfunga mnyama km sio goli la faulo. Msipojipanga vzuri msimu ujao mnaweza bakiwa na ule msemo wa Simba anabebwa. Nawataadharisha tu
 
Watu kujifanya wajuaji kumbe wapuuzii tu,unajifanya unajia kila kitu kuliko kocha
Sio kujua mm ni mpinzani wako ilikuwa dua yangu kapombe asiwepo ingekuwa faida kwetu km nyie tu mlivyofaidika kutokuwa fiti kwa Papy,Niyo na Balama hizo zilikuwa propaganda kutoana mchezoni sikuwa najua chochote sababu si mtu wa ndani wa simba nijue kila kinachoendelea!
 
kama kocha atafata ushauri wako mnapigwa nyingi za faulo na kuna penati pale kenedy hakuna beki pale mbele ya mabingwa wa kihistoria
[emoji23][emoji23][emoji23] nafikiri mada huu upo inawaza hivi ni wewe uliyasema haya
 
hofu itawaua hahahaa kikosi kipana ki wapi mnatamani hadi majeruhi wacheze
yanga anawapa homa hadi kikosi kipana kinaonekana hakitoshi
Nadhani ilikuwa kinyume. Timu iliyowacheesha wasiokuwa fit kwa ajili ya hofu, inajulikana
 
Back
Top Bottom