Kapombe kucheza leo 12/7/2020?

Kapombe kucheza leo 12/7/2020?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Kuna tetesi kuwa beki kiraka wa simba shomari Kapombe ataanza mchezo wa leo dhidi ya yanga
Japo mwanzo ilionekana atakosa mechi zote zilizosalia msimu huu
 
Bora nyoni acheze kulia na kati wacheze wawa na kenedy
kama kocha atafata ushauri wako mnapigwa nyingi za faulo na kuna penati pale kenedy hakuna beki pale mbele ya mabingwa wa kihistoria
 
Simba walijua kuwa Kapombe anahitaji msaidizi wake lakini wakakaa kimya dakika za mwisho wakamsajili shamte
Yanga ni timu hatari mbwembwe za kikosi kipana zimeisha imekuwa ya kuona madhaifu tupu hahahaahahaha
kuweni na amani tunawapiga 2-0 tu sio nyingi
 
Usiongee maneno yote ...weka akiba kidogo kwa sababu ugagula wenu ukijichanganya tu...mtayakoga mengi sana😂😂😂😂
umesahau uchawi wenu wa mvua kunyesha hata kiangazi. sisi tunakupiga magoli safiii hayana mawaaa
 
Back
Top Bottom