Kapombe na Shabalala waachwa Timu ya Taifa huku Yanga ikitoa wachezaji saba

Tatizo liko wapi ?unazani Simba wanalalamikaga ovyo kama uto
 
Faida kwa Simba hapo.uko timu ya taifa kunanini cha maana zaidi ya kupeana majeraha tu!,Simba ina face cafcl na super caf ni vema ikiwa na wachezaji wake muhimu.
 
Hata tuna ya timu ya taifa, tusijifariji hao walioitwa ni sawa na wale ambao hawajaitwa, hawatakuwa na ajabu lolote.
 
Dah! Kweli Tanzania tuna uhaba wa wachezaji kwenye timu ya Taifa!

Yaani hadi Fei Toto, aliyetoroka kwenye timu yake naye ameitwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…