Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Naona tumeanza kuokoteza wachezaji wa ndondo za nje. Huyu kocha hamnamo kitu.Wadau hamjamboni nyote?
Nimeumia Sana
Yanga kutoa wachezaji 7 huku Simba ikitoa wachezaji 3 Hii siyo fair kisoka. Yaani Kagera sugar inatoa wachezaji 4 huku Simba ikitoa 3?? Unamuachaje Sure Boy!??
View attachment 2548998