Kapombe na Shabalala waachwa Timu ya Taifa huku Yanga ikitoa wachezaji saba

Kapombe na Shabalala waachwa Timu ya Taifa huku Yanga ikitoa wachezaji saba

Mzamiru kila siku.
Hawa kina aziz andambwile, hassan nasoro,kelvin nashon, baraka majogoro wataandaliwa lini..?
 
Hata Manula , kakolanya na Mzamiru ni vema wangeachwa tu kwenye hicho kikosi chenu Maana huko ni kutiana majeraha tu na baadae kuachwa wakiuguza majeraha bila msaada.
 
Wamecheza miaka yote wametufanyia nin chamaana
 
Yanga kutoa wachezaji 7 huku Simba ikitoa wachezaji 3 Hii siyo fair kisoka. Yaani Kagera sugar inatoa wachezaji 4 huku Simba ikitoa 3?? Unamuachaje Sure Boy!?? Unamuachaje Mzize?
Ni kawaida kwa timu inayochezesha wageni wengi kutoa wachezaji wachache wa timu ya Taifa. Hii ilikuwa ikiitokea TP Mazembe ya enzi hizo, unakuta Mazembe anachukua ubingwa wa Afrika lakini kwa wachezaji wazawa anazidiwa na DC Motema Pembe na Vita Club, maana wao walikuwa wanachezesha wazawa wengi
 
Back
Top Bottom