Kapombe na Tshabalala nuksi Taifa Stars

Kapombe na Tshabalala nuksi Taifa Stars

Manula hamna kitu pale ni shati tu, Kapombe nae sijui aliingia kufanya nini anakimbiza adui kama yupo kwenye mchakamchaka!

Safu ya nyuma iliyocheza kule Misri ingeachwa vilevile.[emoji57][emoji57] zimbwe yy aliona kuna msala akaomba sub mapema[emoji3063]
 
We kweli ndo kiazi akili zote kwenye mawazo mgando. Mpira uliosababisha tufungwe goli umeshindwa kudhibitiwa na Dickson Job hadi tukafungwa hapo kapombe na Tshabalala wanahusikaje?
Tshabalala kapiga mpira mkubwa na Taifa Stars imeanza kuzidiwa katikati baada ya kutoka Mzamiru
Wakati kwa shabalala ndiyo jamaa wakifanya njia,alipoingia kapombe wakaona njia nyingine
 
Manula hamna kitu pale ni shati tu, Kapombe nae sijui aliingia kufanya nini anakimbiza adui kama yupo kwenye mchakamchaka!

Safu ya nyuma iliyocheza kule Misri ingeachwa vilevile.[emoji57][emoji57] zimbwe yy aliona kuna msala akaomba sub mapema[emoji3063]
Sasa ww kwa jinsi lile goli lilivyokua ww ungeweza kudaka? Hakuna mabeki kule nyuma amebaki mpiga mpira na mchezaji mmoja wa stars..kwanza kuruka tuu kuelekea mpira ulipopigwa ni kipaji sema tuu ulimponyoka...
 
We kweli ndo kiazi akili zote kwenye mawazo mgando. Mpira uliosababisha tufungwe goli umeshindwa kudhibitiwa na Dickson Job hadi tukafungwa hapo kapombe na Tshabalala wanahusikaje?

Tshabalala kapiga mpira mkubwa na Taifa Stars imeanza kuzidiwa katikati baada ya kutoka Mzamiru
Kitendo cha kuwajumuisha hao mabwana tiyari tulishajinajisi. Afcon tutabaki kuisikia kwa wenzetu uganda.
 
Safi rafiki. Naona tunauguza majeraha kipigo cha Stars.
Kweli hii Bongo bahati mbaya, bora tushabikie Congo DRC.
Mimi sikuweka moyo wote huko kwa sababu kwanza wechezaji wamejaa usimba na uyanga..mashabiki ndo walewale wa usimba na uyanga..so sikutaka hata kuumiza kichwa..turudi kwny club zetu..
 
Kwenye club zetu huko kwenyewe safari hii ngoja niwe mchawi, nahisi tunaenda kuumizwa wote.
Mazembe na Raja watachafua CV.
 
We kweli ndo kiazi akili zote kwenye mawazo mgando. Mpira uliosababisha tufungwe goli umeshindwa kudhibitiwa na Dickson Job hadi tukafungwa hapo kapombe na Tshabalala wanahusikaje?

Tshabalala kapiga mpira mkubwa na Taifa Stars imeanza kuzidiwa katikati baada ya kutoka Mzamiru
Job🗑️
 
Back
Top Bottom