The Big Brain
Member
- Mar 8, 2023
- 24
- 38
Wakati kwa shabalala ndiyo jamaa wakifanya njia,alipoingia kapombe wakaona njia nyingineTshabalala kapiga mpira mkubwa na Taifa Stars imeanza kuzidiwa katikati baada ya kutoka Mzamiru
Ha ha haaa ... 😂Mtajijua wenye viriba vya roho...
Mwanaume unachuki kama umeibiwa mke
MZima rafiki za siku?Ha ha haaa ... 😂
Mzima wewe shabiki wa Thimba mwenye akili mingi?
😡Timu inayoshinda ndiyo huanza. Leo sikumuona Bakari Nondo nikajua tushaliwa kichwa, mara Tshabalala mara Kapombe, tumekipata tulichokitafuta
Sasa ww kwa jinsi lile goli lilivyokua ww ungeweza kudaka? Hakuna mabeki kule nyuma amebaki mpiga mpira na mchezaji mmoja wa stars..kwanza kuruka tuu kuelekea mpira ulipopigwa ni kipaji sema tuu ulimponyoka...Manula hamna kitu pale ni shati tu, Kapombe nae sijui aliingia kufanya nini anakimbiza adui kama yupo kwenye mchakamchaka!
Safu ya nyuma iliyocheza kule Misri ingeachwa vilevile.[emoji57][emoji57] zimbwe yy aliona kuna msala akaomba sub mapema[emoji3063]
Kitendo cha kuwajumuisha hao mabwana tiyari tulishajinajisi. Afcon tutabaki kuisikia kwa wenzetu uganda.We kweli ndo kiazi akili zote kwenye mawazo mgando. Mpira uliosababisha tufungwe goli umeshindwa kudhibitiwa na Dickson Job hadi tukafungwa hapo kapombe na Tshabalala wanahusikaje?
Tshabalala kapiga mpira mkubwa na Taifa Stars imeanza kuzidiwa katikati baada ya kutoka Mzamiru
Safi rafiki. Naona tunauguza majeraha kipigo cha Stars.MZima rafiki za siku?
Mimi sikuweka moyo wote huko kwa sababu kwanza wechezaji wamejaa usimba na uyanga..mashabiki ndo walewale wa usimba na uyanga..so sikutaka hata kuumiza kichwa..turudi kwny club zetu..Safi rafiki. Naona tunauguza majeraha kipigo cha Stars.
Kweli hii Bongo bahati mbaya, bora tushabikie Congo DRC.
Kwenye club zetu huko kwenyewe safari hii ngoja niwe mchawi, nahisi tunaenda kuumizwa wote.Mimi sikuweka moyo wote huko kwa sababu kwanza wechezaji wamejaa usimba na uyanga..mashabiki ndo walewale wa usimba na uyanga..so sikutaka hata kuumiza kichwa..turudi kwny club zetu..
Hebu ngoja tuoneKwenye club zetu huko kwenyewe safari hii ngoja niwe mchawi, nahisi tunaenda kuumizwa wote.
Mazembe na Raja watachafua CV.
Upo sahihi sana, kikosi kilichompa matokeo kilipaswa kianzeTimu inayoshinda ndiyo huanza. Leo sikumuona Bakari Nondo nikajua tushaliwa kichwa, mara Tshabalala mara Kapombe, tumekipata tulichokitafuta
Job🗑️We kweli ndo kiazi akili zote kwenye mawazo mgando. Mpira uliosababisha tufungwe goli umeshindwa kudhibitiwa na Dickson Job hadi tukafungwa hapo kapombe na Tshabalala wanahusikaje?
Tshabalala kapiga mpira mkubwa na Taifa Stars imeanza kuzidiwa katikati baada ya kutoka Mzamiru