Mkuu nitishie aina yoyote ya nyoka nakamata kichwa chake isipokua kinyonga tu😁Mkuu Koboko hana mazoea ni kiumbe hatari.
Chai jaba.Mkuu nitishie aina yoyote ya nyoka nakamata kichwa chake isipokua kinyonga tu😁
Mhm kwel naogopa kinyonga mno , hakuna nyoka ananitisha.Chai jaba.
Kinyonga ana shida gani?Mhm kwel naogopa kinyonga mno , hakuna nyoka ananitisha.
Note, siwezi wala sipendi kitu kinaitwa uongo labda ukute ni wrong information tu.
Mhm jinsi alivyo tu. Mara ulimi mrefu mara rangi tofauti ,mara anatuna pia baba na babu yangu waliniambukiza hili .Kinyonga ana shida kwani?
Nasikia huyu nyoka ni kichaa hua anakukimbiza sasa hapo vipi mboni kaishia kujinyanyua tu?Kama angeanguka pale yule Koboko angemmaliza.
Mimi sipatani na mijusi hasa hii inayokaa majumbani nikiiona sijui najiskiaje lazima kipondo kiwahusu.Mhm jinsi alivyo tu. Mara ulimi mrefu mara rangi tofauti ,mara anatuna pia baba na babu yangu waliniambukiza hili .
Hata gari ana kimbizaAnakukimbiza ukiwa unaenda kwa miguu.
Ndio ila huyo kazi yake kufukuza anang'ata hata matairi ya gari ni nyoka mwenye hasira tuKwenye zile Barabara za Maporini gari huwa haikimbii lakini kwenye Lami au Barabara imechongwa vizuri Koboko hawezi.