Kaponea chupu chupu kugongwa na Koboko mkali

nyoka wa kawaida kabisa huyo

ila huyo muha kacha pesa kijinga kabisa angemsindikiza huwenda hata angekula tunda kimasihara
Huyu Dada angekutana na mimi ningemwambia Utingo wangu aipakie hiyo Pikipiki halafu yeye ningemwambia haya Mapori yetu hapa Tanzania ni hatari sana ningempeleka hadi Mpanda.
 
Yule nyoka mnene, mfupi na asiye na mkia mrefu anaitwaje. Ni mtulivu sana lakini inasemekana akikuuma unakufa haraka na ukipona sehemu aliyouma inaoza.

Anaitwaje yule nyoka.
 
Sijasoma mpaka mwisho labda imejibiwa ila mkinijibu haina shida.
Hiyo picha nani alimpiga? Inaonekana ameshikilia pikipiki mikono yote miwili halafu pembeni kuna nyoka, je anatembea na drone inamfuata kwa juu au kuna mtu anatembea naye alimpiga picha?

Angegongwa angemlaumu nani kwa sababu ni kama vile amesikilizia achukue picha wakati huyo nyoka siyo wa kumzoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…