MAKONGOLOSII
JF-Expert Member
- Jul 31, 2024
- 413
- 640
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah akikuuma ukichelewa kutibiwa umekwishaHuyu ni Koboko aliyekomaa ukikuambush lazima ufe.
OnhooKwa wa mjini hii kitu ni hatari mno , ila kwa sisi vijana tulio kulia manyara miaka ya 90 hivi vitu ni vya kawaida mno
Binadamu tunatofautiana inashangaza. Mimi kinyonga nawapenda na siwaogopi, ila nyoka napata kiwewe kabisa.Mhm jinsi alivyo tu. Mara ulimi mrefu mara rangi tofauti ,mara anatuna pia baba na babu yangu waliniambukiza hili .
Umeona isiwe tabu Mista Arnold SchwazneggerMimi na nyoka ni vitu viwili tofauti kabisa, nakiri kuwa kama mwanamke pindi nikimuona nyoka, nawachukia na kuwaogopa
Acha tu ndugu yangu..!!Umeona isiwe tabu Mista Arnold Schwaznegger
Koboko haogopwi kama nyoka, ni kwa sababu ana sumu kali ambayo chances zako za kuishi ni ndogo sana kama akikugonga.Mhm kwel naogopa kinyonga mno , hakuna nyoka ananitisha.
Note, siwezi wala sipendi kitu kinaitwa uongo labda ukute ni wrong information tu.
Nyuki mimi siwapendi ule mlio wao tu siku moja kwa bahati mbaya nilimpiga kofi mmoja akafa..kweli kila mtu ana kitu anaogopa sana kuliko kawaida kuna watu wanaogopa sana nyuki lakini upande wangu
nawapenda sana huwa nawawekea asali waje angalau waje niwaone jinsi wanafanya kazi
basi nafurahi sana ila kuna jamaa wangu huwa hataki ata kumuona huyo mdudu
Huyu joka hatari eeeh...?Kuna jamaa alikuwa akihoji aggressiveness ya Kiumbe huyu ambaye anaweza kugonga utosi wa Binadamu akisimama.