Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

Mkuu hiyo ni gia yake ya kukaa pale. Ndiyo maana asemi ya kidikteta anatumia neno mapinduzi
Yeye namuelewa wala s9mshangai kwa sababu ana tamaa ya madaraka ana kitu anatafuta.

Nisiowaelewa ni hawa misukuke wa Afrika wanaomshangilia.

They are cheering for a tyrant.
 
Kuna wakati mwingine ili mambo yaende inatakiwa itumike nguvu/amri na sio kumbembelezana. Linapokuja suala la kujikomboa kiuchumi Udikteta unatakiwa kwa kiasi fulani- Sio ule wa watu wasiojulikana wa kupoteza watu
 
Ushaona mfalme anaoigiwa kula?. Au kaingilia kuvunja uongozi? Wao wameioa mamlaka serikali na inaonhkzwa na waziri mkuu. Na anaweza kuchaguliwa wa chama chochote kile na mfalme Hana chama chochote. Utasemaje hakuna demokrasia hapo?
 
Wangekuwa na demokrasia unayo isema wasinge tutawala kwa mabavu wangetuomba tupige kula kukubali au kukataa
 
Demokrasia Marekani na ulaya imekuja Juzi TU miaka ya 40 50 na 60 usijichanganye.
Marekani wana kitu inaitwa Electro college.
Wanawake wameruhusiwa Juzi TU kupiga kura Marekani.
Hivyo ni kweli..... Democracy doesn't and won't work in Africa.
 
Democracy ni silaha iliyobuniwa na mkoloni ili kutugawanya waafrika.

China imeendelea ikiwa na chama kimoja na rais wake aliingia madarakani mwaka 2013.

Marekani ina vyama viwili tu vya siasa. Ila huku Africa nchi moja ina vyama tisa.

Urusi nayo haifuati demokrasia.
 
Kama unaamini demokrasia basi ni mpumbavu
 
Inaweza kuendelea vizuri tu, lakini kama jamii inajitambua. Seems jamii nyingi za mtu mweusi bado hazijajitambua. Kuna stage lazima ivukwe mpaka kuwa jamii iliyoendelea kama wenzetu
kwenye democrasia ni rahis kupandikiziwa mamluki apo ndio tatizo na kwenye udikteta mnaweza kujikuta mnamilikiwa na lipimbi kwa muda mrefu na hamna chakulifanya na likiondoka linaacha pimbi lingine
 
hao ni symbolic, hawana lolote katika dictates za nchi zao! Jaribu kuyaelewa haya mamboMA
TUSI YA NINISASA? HUWEZI KUJIBU HOJA BIA NENO MPUMBAVU? BASI MUULIZE MAMA YAKO KAMA MIMI NI MPUMBAVU
 
Demokrasia Marekani na ulaya imekuja Juzi TU miaka ya 40 50 na 60 usijichanganye.
Marekani wana kitu inaitwa Electro college.
Wanawake wameruhusiwa Juzi TU kupiga kura Marekani.
Hivyo ni kweli..... Democracy doesn't and won't work in Africa.
YES, WE NEED TO START! THOSE COUNTRES YOU HAVE MENTIONED DID HAVE A STARTING POINT.

I am sure unanufaika an ukandamizaji wa udukiteita ndiyo maana unasema hivyo. short of that ungelikuwa unakandamizwa na tawala za ki IMA usingelisema hivyo...
 
Hapa Afrika kuna nchi ina vyama zaidi ya 100🤣🤣🤣. Ngoja niikumbuke jina kwanza
 
YES, WE NEED TO START! THOSE COUNTRES YOU HAVE MENTIONED DID HAVE A STARTING POINT.

I am sure unanufaika an ukandamizaji wa udukiteita ndiyo maana unasema hivyo. short of that ungelikuwa unakandamizwa na tawala za ki IMA usingelisema hivyo...
Nchi nyingi zilizoendelea hazifuati demokrasia hata Marekani yenyewe ina vyama viwili tu vinafanya kubadilishana awamu za uongozi nenda nchi za uarabuni kama Saudi Arabia au angalia nchi kama North Korea na China hazifuati demokrasia.

Hata nchi nyingi za Ulaya zimeunda demokrasia karne ya 19 na 20.
 
Demokrasia Marekani na ulaya imekuja Juzi TU miaka ya 40 50 na 60 usijichanganye.
Marekani wana kitu inaitwa Electro college.
Wanawake wameruhusiwa Juzi TU kupiga kura Marekani.
Hivyo ni kweli..... Democracy doesn't and won't work in Africa.
This logical fallacy is called non sequitur.

Kwanza kwa nini Marekani ndiyo iwe kipimo?
 
Demokrasia = mnachagua au kufanya maamuzi kwa kushirikiana

Kiimla - MTU mmoja anaawaamuli wengi .


Hasara za demokrasia

- wajinga wakiwa wengi mtapata viongozi wabaya

Faida

-Amani ya nchi - kwakuwa watu wengi mlikubaliana na kumchagua mnayemtaka

Nchi za Africa ni nchi ambazo zinabidi Kuwa na demokrasia .

Ahsante .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…