Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Yuko sahihi,hakuna Taifa lililoendelea kwa demokrasia duniani
WEWE NI MBUMBUMBU MKUBWA TU. HAYO MAJAMAA YALIENDELEA KABLA YA KULETEWA UJINGA WA DEMOKRASIA. UNAIJUWA EUROPEAN SUPER POWER BY THEN, GERMANY ILIVYOPATA HIYO KITU KUPITIA KWA Adolf Hitler?stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
Unatuhakikishiaje kama hiyo ni GIA yake usemayo ?!!Mkuu hiyo ni gia yake ya kukaa pale. Ndiyo maana asemi ya kidikteta anatumia neno mapinduzi
Ha ha ha wamezijenga nchi zao kwa UKOLONI ,UTUMWA ,UBEBERU halafu mbele huko wanakuambia kuwa njia ya kufanikisha kuwa kama wao kimaendeleo ni demokrasia....ha ha haWangekuwa na demokrasia unayo isema wasinge tutawala kwa mabavu wangetuomba tupige kula kukubali au kukataa
Tuombe uzima tujioneeRamli shirikishi
monarchy .........does not exercise executive or policy-making power.Demokrasia ya Uingereza ni ya mchongo kwasababu waziri mkuu wake anateuliwa na mfalme. Yaani kiongozi wa chama chenye viti vingi bungeni ndo anateuliwa kuwa waziri mkuu. Na ikitokea vyama vyote vina idadi sawa ya viti( hung parliament) mfalme atamteua mtu atakayeona anafaa kuwa prime minister. Wananchi wao wanachagua wabunge tu ila mamlaka za juu haziwahusu. Sasa kwenye hilo demokrasia ipo wapi?
mbumbumbu mama yako...jengo hoja acha matusi.....MBUMBUMBU
Ila prime minister wa Uingereza ndo mwenye hayo majukumu chakushangaza prime minister mwenyewe hateuliwi na wananchi.monarchy .........does not exercise executive or policy-making power.
Yupo sahihiKiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025.
Kapteni Traore alidai hakuna nchi yoyote duniani iliyopata maendeleo huku ikiwa katika mfumo wa kidemokrasia bali maendeleo hupatikana kupitia " mapinduzi ya kijamii" ambayo yatahusisha wananchi wote wa nchi husika.
Kapteni Traore pia alisema kuwa nchi ya Burkina Faso kwa sasa haipo katika mfumo wa kidemokrasia bali ipo katika" mapinduzi " na akadai kushangazwa na wasomi wanaopotosha umma kwa kutumia neno" demokrasia"
Je wewe una maoni gani kuhusu madai haya ya Kapteni Traore?
CHANZO: YouTube Channel ya Shirika la Habari la Burkina Faso( RTB)
Hapo kwenye njaa ndiyo umemaliza na uzi umeishia hapa. HAKUNA DEMOKRASIA KWENYE NJAA.Kaongea ukweli ila kueleweka itachukua muda!, kukataa demokrasia sio kwamba wewe ni dictator!.
sasa wengi na najua zitaanza kuzuka tetesi na kashifa za dictator kwenye nchi yake!, hizo ni kawaida maana properganda lazima aanzishiwe hata magufuli hapa bongo aliitwa kila aina ya jina!.
Mi nafikiri aina ya uongozi na kujiongoza nchi zinaweza kuchagua njia zake vile itaona inafaa, wapo wanaongoza nchi ki falme wanaenda vyema tu!.
Africa demokrasia ni udhaifu, huwezi kumuongoza mtu mwenye njaa kidemokrasia na asiibe, mtu alipwe laki na nusu lije zali la million ati aliaachie!. demokrasia kwetu inatakiwa ianzie kwa viongozi ngazi za juu wakituonyesha wao na huku chini watu wataanza kubadirika lkn huko juu kila siku ni ufujaji na hasara zakutosha!.. na wanajiita wasomi hehe!
Tatizo liko wapi hapo.Hatukuumbwa sote tushike nafasi ya uraisi.Sitaki kuamini traore haijui Dunia kiasi hicho.....
Huyu anataka kuulinda umri wake madarakani na hatoboi, anataka kutawala miaka 40 buknabe kwasasa anaumri wa miaka 36 +40 #70yrs
Njaa yenyewe huletwa na demokrasia.Hapo kwenye njaa ndiyo umemaliza na uzi umeishia hapa. HAKUNA DEMOKRASIA KWENYE NJAA.
Historia ya hizo nchi unazitaja kama "WESTERN WORLD" unaifahamu vizuri?stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
Mao ze Dong aliwapeleka wachina mchakamchaka hadi wakajitambua.Hapo kwenye njaa ndiyo umemaliza na uzi umeishia hapa. HAKUNA DEMOKRASIA KWENYE NJAA.
now, why did democracy vanish from African vocabulary?Africans were the most democratic than what we are perceived to be.
Ukishaamini demokrasia na kuipigania ndio basi tena umeshanasa kwenye makucha yake na huwezi kabisa kupata maendeleo.Mbona hapa kwetu hiyo demokrasi hakuna na bado hatuendelei.
anateuliwa na wanachi through vyama vyaoIla prime minister wa Uingereza ndo mwenye hayo majukumu chakushangaza prime minister mwenyewe hateuliwi na wananchi.
Sahihi demokrasia inahitaji uwe na watu wengi wenye elimu, taarifa sahihi na uelewa mpana wa mambo.Inaweza kuendelea vizuri tu, lakini kama jamii inajitambua. Seems jamii nyingi za mtu mweusi bado hazijajitambua. Kuna stage lazima ivukwe mpaka kuwa jamii iliyoendelea kama wenzetu