Kapuya, hii kali...! Ipe maneno picha hii

Kapuya, hii kali...! Ipe maneno picha hii

mzee mzima anawaza "dah! hili songi bora liendelee tu manake likimalizika
sasa hivi suruali itaniadhiri, bora ningevaa shati refu zaidi"
 
Ningekuwa nimeshakufa kwenye ile ajali mbaya haya ningeyapata wapi?
 
Wajameni mbona kama Mhe anataka kumuingizia mkono kwenye sehemu nyeti ya huyo dada ama ndo style ya music wenyewe? Ama amejisahau kuwa yupo Ukumbini?
 
JAMANI NAFIKIRI KILA MTU AKIWEKA

SENTENSI YAKE INAYOFANANA NA PICHA HII
ITAKUWA VIZURI.....LOL

kapuya.jpg
Ingekuwa vizuri kama binti yake mheshimiwa wa Akudo naye angeshikwa hivyo na Fataki au mke wake angeshikwa na kijana mdogo kama shalobaro Diamond ingeleta raha
 
hahahahaha!
teamo wahi nyumbani....

kuna foleni sana mida hii
 
namfikiria mkewe na watoto jinsi alivyowadhalilisha. utakuta hii picha imewashtua wengi ikiwemo real small house. maana nahisi huyu dada atakuwa kamuibua juu kwa juu.
 
No No No NOooooooooooooooooooooooo...Cant bealive my ears and eyes....................
 
Huyo dada anaonesha ni muathirika wa vvu na Kapuya hakutaka kumyanyapaa.
 
Mzee anaonekana anai-feel haswaaa, dah ame-concentrate kwa 100%!! Yaani apa ata akitokezea ghafla mtu yeyote ambaye hakumtarajia,mzee wala hawezi kuachia hiyo kitu! Mwache bana astarehe/ai-enjoy life!
 
Kapuya:We binti unakata kiuno vizuri,hapo jogoo langu linasumbua lazima baadaye uniachie,sogea kidogo nikushike kiuno,khaa we mtoto una kajoto.
Binti:Sijategemei kukutana nawe mheshima,nitakupa vyote kwa mda wowote utakapokuwa tayari,ila nina mapungufu ya ada ya chuo,kodi ya
nyumba,jamani huwa nina maisha magumu sana.
 
Back
Top Bottom