huyu ni kapuya jamani, naona ni yeye kabisa, aliyewahi kuwa waziri wetu muda mrefu...anayo pia bendi ya mziki wa kunengua, pia ni mwislam mwadilifu sana aliyewahi kuwahamasisha waislam nchini wawavalishe watoto wao baibui/buibui/a.k.a ninja....speechless!
Usijali hata hivyo kwa nyuma inatosha si lazima ugeuke!JAMANI NAFIKIRI KILA MTU AKIWEKA SENTENSI YAKE INAYOFANANA NA PICHA HIIITAKUWA VIZURI.....LOL
JAMANI NAFIKIRI KILA MTU AKIWEKA
SENTENSI YAKE INAYOFANANA NA PICHA HII
ITAKUWA VIZURI.....LOL
hahahahhahha................beat la msondo ye anacheza twistYani kamkandamizia kabisa halafu tazama suluali imenyanyuka inaelekea mambo yalisha changanya na mawazo yake hayakuwa tena katika mziki sidhani kama hata alikuwa anaendana na beats!